fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
1. Unascaniwa ikiwa haupo
2. Hakuna anayekujulisha kwa mdomo au text message
3. Unafanya jitihada kujua iwapo ulikuwa scanned, unaulizia kwa kutumia simu 152*00, usafiri, TARURA, deni jibu linakuja huna deni
4. Unakaa baada ya masaa kama 4 unajaribu tena jibu ni huna deni, unaachana na suala hilo
5. Baada ya siku mbili ya tatu hivi unapata message unadaiwa na TARURA, ukiulizia kunakuta ada na faini kubwa kuliko deni mara 12 na zaidi,
Mheshimiwa Rais ukija Mwanza muulize Mkuu wa Mkoa na TARURA suala hili ni hujuma ya wazi kwako na taifa.
Yaani unamdai mtu baada ya siku mbili inakuwa kutoka 1500/- hadi 21500/-? wakati huo huo mfumo wako hautumi invoice kwa mdaiwa kwa wakati, bila control number mteja analipaje sasa?
Ushauri: Mtu adaiwe hiyo 1500 kwa mwezi mzima ambaye halipi awekewe hiyo faini 20,000 ikibidi na gharama za kumtafuata na kumfunga cheni
Pia kuwe na notification right away mtu anapokuwa scanned tu, sio make siku mbili ndio mtume akiwa tayari anadaiwa faini ya 20,000/- ugumu uko wapi kumpa mtu invoice yake baada ya ku scan?
Sio kila mtu anajua na uelewa wa kutafuta namna ya kulipa, e-invoce itumwe ili mtu aanze kudaiwa rasmi, lakni kumudai mtu bila invoice ni uhuni mkubwa sana.
Rais kazi kwako Mwanza ni shida, ni tunakomoana tu.