Wamiliki wa mabasi jipangeni ujio wa treni Dar to Moshi

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,980
4,451
Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.

TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakuwa na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).

Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.

Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna aliyelipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande Coster au Eicher.

Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote

Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi.
 
Mkuu maendeleo ya nchi ni kila kitu kipo na watu wote wanapata abiria kutokana na ongezeko la watu. Jiulize inakuwaje nchi zilizoendelea huduma zote zipo na hakuna anaelalamika hata huku itafikia hivyo bus zipo, treni, taxi, coaster, malori na wote wanapata pesa. Mbona Mbeya treni tumeikuta na watu bado wanaagiza bus na biashara wanafanya, ishu ya mwendokasi mlisema hivyo hivyo wengine walikimbia kumbe kinachoongelewa hakipo.
 
Sijamaanisha watakosa wateja ila wawe na mbinu za kushawishi abiri,maana upinzani tayari umekuja
Mkuu maendeleo ya Nchi ni kila kitu kipo na watu wote wanapata abiria kutokana na ongezeko la watu jiulize inakuaje Nchi zilizoendelea huduma zote zipo na hakuna anaelalamika hata huku itafikia hivyo bus zipo,treni,tax, coaster,maroli na wote wanapata pesa mbona Mbeya Treni tumeikuta na watu bado wanaagiza bus na biashara wanafanya ishu ya mwendokasi mlisema hivyo hivyo wengine walikimbia kumbe kinachoongelewa hakipo...
 
Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa malori Kenya walikua wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.

TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakua na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).

Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.

Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna alielipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande kosta au Eicher.

Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote

Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi
Watu wa mabasi wengi washenzi tu natamani zije nyingi, ushenzi wao ni kipindi cha sikukuu hasa December wanapandisha nauli maradufu ili kukomoa watu.

This time naombea hiyo treni ufanikiwe kuanza safari maana wenye mabasi watakoma, nauli itabaki ile ile ya siku zote waache kukomoa watu kwa tamaa zao
 
Kuna mdau hapo juu kasema dar -kigoma ni siku3 wakati kwa basi si zaidi ya masaa 18 kama ni kweli basi shirika la reli ndio lijipange na sio wamiliki wa mabasi...ata kama hyo tren itakua na kumbi za starehe ndani bado siwezi kupoteza mda wangu njiani.
 
Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.

TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakuwa na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).

Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.

Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna aliyelipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande Coster au Eicher.

Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote

Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi.

Wafanyabiasha wa Kanda ya kaskazini huwa wanajifanya Wana vichwavigumu kwenye kufanya biashara.ila kwa hili la train ya dar Moshi yafuatayo yatatokea.
1. Ubungo wapigabede wataanza kuwa wazururaji na vibaka kuongezeka dar.
2. Hotel zilizopangwa barabarani korogwe na mombo kufungwa na watu kukosa ajira, na huwa wanauza vyakula bei ya juu nahawana customer care hata kidogo.
3. Mabank kutakuweko na kilio kwa marejesho yatapungua 75% kwa waliokuwa wamekopea kununua mabasi Tena kwa gharama kubwa.
4.Moshi vibaku kuongezeka kwa Kasi kubwakutokana na wapigadebe kukosa kipato.
5.watu au wafanyabiasha wenye mabasi mabovu kuhama mjini.
6. Mabasi mengi kuanza route za vijijini ambako walisahauka.
7. Ajali za mabasi kupungua.
Ongezea chako
Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.

TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakuwa na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).

Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.

Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna aliyelipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande Coster au Eicher.

Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote

Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi.

Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.

TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakuwa na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).

Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.

Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna aliyelipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande Coster au Eicher.

Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote

Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi.

Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.

TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakuwa na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).

Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.

Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna aliyelipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande Coster au Eicher.

Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote

Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi.
 
Ume consider na usalama wako pia au umejipanga ufike kigoma ukiwa mfu
Kuna mdau hapo juu kasema dar -kigoma ni siku3 wakati kwa basi si zaidi ya masaa 18 kama ni kweli basi shirika la reli ndio lijipange na sio wamiliki wa mabasi...ata kama hyo tren itakua na kumbi za starehe ndani bado siwezi kupoteza mda wangu njiani.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom