CHADEMA wakimpitisha Nyalandu kugombea Urais, kura nampa Magufuli

CWR2016

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
2,760
6,294
Ndg wanajukwaa Habari,

Tumekuwa tukipigia kelele na kutaka mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu, hasa ya kiuongozi.

Binafsi ni mdau mkubwa wa kutaka mabadiliko, na sijawahi kabisa kukubaliana na njia nyingi za kiuongozi za JPM.
Umekuwa utawala wa kimabavu, kuumiza watu, ajira na ugumu wa maisha, n.k

Lakini nakiri kwamba CHADEMA haiwezi kubebwa na mwana CCM hata siku moja. Na kibaya zaidi ni kwamba hakuna mwana CCM atakuja kuongoza mabadiliko.

Kuna dalili CHADEMA wanataka kumsimamisha Nyalandu.

Big NO, Nyalandu ni CCM, ni aina ya Lowassa aliyechangamka.

Wapo wanaomtetea kwamba huyu alikuja muda mrefu na hakuja kusaka madaraka. Hawajui michezo ya CCM hao.

CHADEMA mkimuweka Nyalandu, kura nampa Magufuli.
 
Maamuzi yote anayo Mbowe kuwa mpole tu, akitaka anamteua hata mukya
Mimi sina shida, yeye afanye anavyotaka, ila namfahamu Nyalandu toka akiwa sekondari Ilboru, hata huko Marekani, kabla ya kuukwaa ubunge.

CHADEMA wajue wakimuweka Nyalandu. Kura yangu nampa Magufuli
 
Mimi sina shida, yeye afanye anavyotaka, ila namfahamu Nyalandu toka akiwa sekondari Ilboru, hata huko Marekani, kabla ya kuukwaa ubunge.

CDM wajue wakimuweka Nyalandu. Kura yangu nampa Magufuli

Mimi siwezi kumpa mwanaccm yoyote kura yangu, iwe Nyalandu, JPM au Membe. Hapa tulipo sasa hivi hatuzungumzii uchaguzi, bali tunazungumzia bila tume huru ya uchaguzi, hakuna kushiriki uchaguzi wa kihuni. Kura ni njia ya kistaarabu ya kupata viongozi, lakini sio lazima viongozi wapatikane kwa njia ya kura tu. Ccm wamedhibitisha hilo.
 
Ukiwa kwenye siasa unapaswa kuwa flexible sana la sivyo hufanikiwi. Hata CHADEMA wakikosea vipi huwezi kusema kura yako utampa Magufuli. Kila mtu ccm anajua jiwe hafai kabisa kuwa rais lakini hawatampigia kura Nyalandu, CHADEMA tuwe werevu siasa sio msaafu.
 
Mimi siwezi kumpa mwanaccm yoyote kura yangu, iwe Nyalandu, JPM au Membe. Hapa tulipo sasa hivi hatuzungumzii uchaguzi, bali tunazungumzia bila tume huru ya uchaguzi, hakuna kushiriki uchaguzi wa kihuni. Kura ni njia ya kistaarabu ya kupata viongozi, lakini sio lazima viongozi wapatikane kwa njia ya kura tu. Ccm wamedhibitisha hilo.
Nakuelewa sana. Binafsi mgogoro wangu ni wana CDM wanaosema eti Nyalandu ni CHADEMA, ni pandikizi tu. Ni CCM na anafanya kazi ya CCM. Hana tofauti na Lowassa.

Eti ooh huyu alihamia mapema, ameacha mafao ya ubunge. Thubutu,
 
Ndg wanajukwaa Habari,

Tumekuwa tukipigia kelele na kutaka mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu, hasa ya kiuongozi.

Binafsi ni mdau mkubwa wa kutaka mabadiliko, na sijawahi kabisa kukubaliana na njia nyingi za kiuongozi za JPM.
Umekuwa utawala wa kimabavu, kuumiza watu, ajira na ugumu wa maisha, n.k

Lakini nakiri kwamba CHADEMA haiwezi kubebwa na mwana CCM hata siku moja. Na kibaya zaidi ni kwamba hakuna mwana CCM atakuja kuongoza mabadiliko.

Kuna dalili CHADEMA wanataka kumsimamisha Nyalandu.

Big NO, Nyalandu ni CCM, ni aina ya Lowassa aliyechangamka.

Wapo wanaomtetea kwamba huyu alikuja muda mrefu na hakuja kusaka madaraka. Hawajui michezo ya CCM hao.

CHADEMA mkimuweka Nyalandu, kura nampa Magufuli.
Kuna ka ukweli bora huyo tena
Nyalandu mmmh yupo serious kweli au kuna lingine zaidi ya tunaloliona?!
 
Unachekesha kweli hao chadema kila mwaka wanashiriki uchaguzi na uchaguzi ujao wanashiriki wewe una bwabwaja jf,wanaogombea wanashiriki kwa tume hii hii kila chaguzi wewe unasubiri tume ya kutoka mbinguni

Wao kama chama wanaweza kushiriki, na sio kushiriki tu, wanaweza hata kwenda kuishi kwenye vituo vitakavyotumika kupigia kura, lakini sisi wapiga kura tunaojitambua, hatuko tayari kushiriki huo upuuzi chini ya tume hii.
 
Back
Top Bottom