Uchaguzi 2020 Kwa kauli moja wanamtama wasema ni Rais Magufuli TENA 2020-25

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye.
Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze kupata fursa ya kugombea Urais kupitia CCM.

Hongera wana Mtama kwa kutambua kazi zilizofanywa na Rais Magufuli na hivyo kuendelea kumuaminia!
 
Hongera wana Mtama kwa kutambua kazi zilizofanywa na Rais Magufuli na hivyo kuendelea kumuaminia
Chadema watanuna na kuchukia.
 
😃😃 Mkuu unatoa taarifa na pongezi lakini zikiwa katika kichwa cha habari ambacho ni "kifua cha habari".
Hongera kwao.
 
Bichwa!
908765.jpg
 
Kiongozi anaongoza nchi kutokana na "MOOD" atakayo amka nayo asubuhi. Hatari sana.

Kuna siku ataamka na "MOOD" ya kupiga viboko raia nchi nzima. Mshangilie na hilo likitokea.
 
June 21, 2020
Lindi, Tanzania

TAMKO LA JIPYA LA BERNARD MEMBE KUHUSU KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA 2020

Bernard Membe akiongea na waTanzania kusini mwa Tanzania kuwa kundi lao ndani ya CCM wamejiridhisha na hawana uoga dhini ya CCM Mpya

2015 Bernard Membe ninatosha
 
Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye.
Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze kupata fursa ya kugombea Urais kupitia CCM.

Hongera wana Mtama kwa kutambua kazi zilizofanywa na Rais Magufuli na hivyo kuendelea kumuaminia!
Nape anatafuta uwaziri kwa kujilambisha kwa kwenye jiwe.
 
Kiongozi anaongoza nchi kutokana na "MOOD" atakayo amka nayo asubuhi. Hatari sana.

Kuna siku ataamka na "MOOD" ya kupiga viboko raia nchi nzima. Mshangilie na hilo likitokea.
Na jinsi tulivyo na wajiitao wakubwa kumbe ni bure kabisa usishangae kumuona Khasimu akiambiwa lala chini na kula viboko na akasema hewala.
Afande Simon, Profesa Jalalani, Mwigu-lu madelu na hata afande Venancio wote hao wanaweza kula hamsa wa ishirini bila hata kutoa mguno wa maumivu.
Mood yake bwana mkubwa ndio inaendesha nchi na hakuna wa kujifanya kijogoo sio ccm au vyombo vya dola
 
Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye.
Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze kupata fursa ya kugombea Urais kupitia CCM.

Hongera wana Mtama kwa kutambua kazi zilizofanywa na Rais Magufuli na hivyo kuendelea kumuaminia!
Mara paap amefungwa bao la mkono.
 
[SUP] [/SUP]
[SUP]WanaCCM Lindi wamuambia Bernard Membe aombe ridhaa ya kugombea Urais, baada ya kukubaliana naye masuala mengi anayomzidi mgombea mwingine ndani ya CCM ambayo ni muhimu ktk ustawi kama Taifa kiuchumi na kijamii ikiwemo Maendeleo ya Watu yanayogusa afya zao, biashara za kuvuka mipaka ya nchi , elimu .....[/SUP]

2015 ahadi za Bernard Membe bado zinaishi 2020
 
Back
Top Bottom