jpm

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anamsaidia Rais Magufuli. Anasema ukweli ambao wana-CCM, wasaidizi, na washauri, wanaogopa kumwambia Magufuli

    Vitisho anavyopokea Tundu Lissu vinatoka kwa wasaidizi wa Rais Magufuli ambao wameshindwa kumwambia bosi wao ukweli. Wanamdanganya Rais Magufuli kuwa anatukanwa, lakini ukweli ni kwamba Tundu Lissu anasema mambo ambayo yalitakiwa yasemwe na washauri na wasaidizi wa Rais Magufuli. Rais Magufuli...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

    Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bila wasanii Magufuli hapati hata watu 100. Wafuate nini?

    Kuna viongozi wana mvuto wa asilia kwa watu (charismatic leaders). Hawa viongozi wana sifa zifuatazo:- Characteristics of Charismatic Leader 1. Confident.. Charismatic leaders ooze confidence; there is no doubt about that. 2. Compassionate.. Compassion is a characteristic that embodies all...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa" Swali katika mada yangu ya leo ni katika kuwapata wagombea wa CCM, Je, vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu matokeo ya kura za maoni, ambayo...
  5. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu abadili upepo, aanza kumsifu Rais Magufuli

    Lisu katika harakati za kusaka wadhamini akiwa mjini Tanga na Muheza amesifia kazi za awamu ya tano kuwa wanajenga reli mpya bwawa kubwa la umeme na miradi mingi mikubwa. Kafananisha kazi hizo na zile zilizofanywa na watawala wa kizungu na mwalimu nyerere, akasema wajerumani walijenga reli ya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, ni kwanini Magufuli anatafuta wadhamini kimya kimya?

    Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika. Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, jambo lingine ambalo hatukuwahi kuliona enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hili hapa, usiache kulisema kumsaidia kampeni JPM

    Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Magufuli alijitofautisha, Kikwete anajaribu kusawazisha kumwokoa, Tundu Lissu anamtetea!

    Inawezekana nawe umegundua trend hii. Kila JPM akiongea kuelezea yaliyofanyika anaelezea kana kwamba yamefanyika kwake. Amekuwa hata akidiriki kutumia maneno mabaya kwa waliomtangulia mfano "uchumi ulikuwa mikononi wa majizi", "Waliishi kama malaika sasa wataishi kama mashetani", "mimi huwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kukabidhi uenyekiti wa SADC jijini Dodoma. Je, ni kitu gani ameifanyia SADC cha kukumbukwa na nchi wanachama?

    Rais Magufuli anatarajia kukabidhi Uenyekiti wa SADC. Yapi maoni yako kwa kipindi alichohudumu katika nafasi hii. Je, atakumbukwa kwa mazuri yapi aliyoyafanya katika jumuia hii ya SADC ambayo yameleta tija kwa nchi wanachama? N.B. Mimi nilikuwa nimeshasahau Kama Rais wetu ndiye Mwenyekiti wa...
  10. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli v/s Yusufu " tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake

    Ninaamini sifa anazopewa Magufuli hazitamfanya awe na kiburi au majivuno bali zitamnyenyekeza zaidi kwa Mungu kwa maana si yeye anayefanya Bali Mungu kupitia yeye tunamuombea ajishushe zaidi ili Mungu aendelee kumtumia kuibariki Tanzania. Mfalme pharaoh alipoota ndoto ya masuke saba manono na...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Prince Bagenda na Buberwa Kaiza wanaonesha kumchukia Rais Magufuli japo walikuwa wapiga debe wake mwaka 2015

    Hawa watu walikuwa wapiga debe wakubwa wa JPM 2015, waliandika makala za kumsifu na kumjenga kisiasa. Lakini naona siku za karibuni wameanza kuonyesha upinzani mkubwa sana kwa Rais wetu mpendwa. Buberwa Kaiza katika kurasa zake za mitandao ya kijamii, anafanya ukosoaji mkubwa japo anajaribu...
  12. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  13. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Tanzania: GDP Soars Under President Magufuli Tenure

    TANZANIA's annual adjusted GDP rose by 76.5 per cent during the last four years of President John Magufuli's administration, according to an estimate announced by the Chief Government Spokesman, Dr Hassan Abbasi. In his address to members of the press, at which he touched on the economic growth...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kalogeresi M/kiti CCM mkoa wa Morogoro amefanya udalali kufikisha rushwa ya Abood na Shabiby kwa wajumbe Kamati ya Siasa Mkoa na kwa Polepole

    Upo ushahidi wa wazi kuwa matajiri wa hapa Morogoro wametengeneza mtandao mkali wa kujinemesha kupitia maliasili zilizojaa hapa Morogoro. Walitengeneza mfuko maalumu wa kuhonga viongozi wa wilaya, mkoa na mpaka taifa. Mfuko huo uko chini ya Abbod Azizi mbunge wa Morogoro mjini anayeomba...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha Siri Cha Membe na JPM

    Ni kweli?
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

    Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli. Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora...
  17. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mambo yatakayomrudisha Dkt. Magufuli ofisini tarehe 28 Oktoba

    MAMBO YATAKAYOMRUDISHA JPM OFISINI TR 28 OCTOBER. Na Elius Ndabila 0768239284 Mh Dkt Magufuli Rais wa JMT jana amechukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu ya pili kupitia Chama Cha Mapinduzi. Mh Magufuli anayeelezwa kuwa mzalendo namba moja wa Tanzania baada ya kuchukua fomu aliwaasa wanaCCM...
  18. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ana marafiki wa kificho, Rais Magufuli ana maadui wa kificho

    UCHAGUZI wa mwaka huu unatakuwa ngumu na wenye mvuto mkali. Hii ni sawa na pambano lililosubiriwa kwa muda mrefu. Mapambano kama haya yakitokea hulazimisha shughuli zingine zisimame ili kupisha mpambano mkali na wenye mvuto. Hivi ndiyo ninavyoona uchaguzi wa mwaka huu. Siyo uchaguzi wa CCM VS...
  19. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Wajumbe wamempa Dkt. Magufuli, CCM na Taifa wagombea tarajiwa watakaoongoza vita dhidi ya rushwa?

    Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule Je, wajumbe wametupa kikosi cha wagombea kinachochukia rushwa au JPM yuko peke yake ? Kama bila CCM imara taifa...
Back
Top Bottom