jpm

  1. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli ang'ara kwenye Sekta ya Kilimo. Hongera sana CCM

    Wanajamvi. Amani kwenu Leo ni siku nyingine ya kutafakari utendaji mzuri wa Rais Magufuli na serikali yake katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 - 2020. Leo tuangalie Sekta ya Kilimo. Katika jitihada za kuendeleza kilimo, kuliundwa dirisha la kilimo katika Benki ya Uwekezaji...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku. Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe. Chanzo: Channel ten. Maendeleo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

    Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa. Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania. Pia...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Asante wajumbe wa CCM wilaya ya Rorya: Magufuli tunaomba uturudishie Japhari Chege

    na Mwl Matete - MUST Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Rorya kwa kazi kubwa waliofanya kutuletea mshindi ambaye kwa maoni yangu ni mtu sahihi kwa wakati huu. Kura ya maoni iliyofanyika wiki iliopita ni wazi kuwa hata wajumbe walichoka siasa...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kila Jimbo la "Muunga mkono juhudi" limebana. Asanteni sana magwiji wa CCM mlioamua kurudi

    Yaani dili limetiki 100 asilimia, kila tunachopanga na kutarajia kina tiki. Hatua ya kwanza kabisa tayari tumefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 96. Mambo yanaenda bam bam. Tunasubiri hatua ya pili mchujo wa kura za maoni na hatua ya tatu vikao vya maamuzi ambayo yote hayo yameshaonyesha kufanikiwa...
  7. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilio hiki kikufikie Dkt. Bashiru na Rais Magufuli. Rushwa yatoa mgombea Singida Magharibi

    Wasalaam viongozi wangu taifa! Kwanza kabisa ninaomba kuwasilisha vilio vingi kwa niaba ya wanachama wa CCM jimbo la Singida magharibi kupitia jukwaa hili. Ninamfahamu kabisa viongozi wangu mwenyekiti na katibu wa chama changu taifa uadilifu wenu hauna mashaka na hauwezi kutiliwa shaka ya...
  8. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  9. ndanda masasi

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa Tsh. Bil. 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho

    Waziri Mkuu Majaliwa amesema Serikali imetoa Tsh. Bil 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho“JPM ametoa hizi fedha kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara & Kibiti kwa waliolipwa nusu, kiasi na wasiolipwa, zitaanza kulipwa kesho” -----...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Serikali ihamishie maslahi ya wabunge kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuishauri Serikali. Lakini kama mkuu wa wilaya akiongezewa kazi za kusimamia kabisa kila shughuli za maendeleo ya wilaya huku akihakikisha mgawanyo wa keki ya taifa wilayani kwake atakuwa anafanya kazi kubwa kuliko Mbunge. Napendekeza Ili kuwapiga chenga za...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Walioacha nafasi zao za uteuzi kugombea Ubunge, wakishindwa wakakaa mitaani bila kazi, wanaweza kuwa mwiba kwa JPM

    Hawa jamaa bila shaka walitarajia kwamba watapewa likizo wakagombee, wakishindwa basi warudi kwenye nafasi zao za zamani. JPM ni chuma, ukitema nafasi yako leo, kesho anaweka mtu mwingine, ukishindwa huko ndio nimekula kwako unarudi kijiweni. Wasiwasi wangu ni kwamba hawa jamaa wanajua mambo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kama mtumishi wa umma simpigii kura Magufuli kwa kutoboresha maslahi yangu, wewe kwanini hutamchagua?

    Inawahusu wasiomchagua JPM tu. Mimi Kama mtumishi wa umma hajaongeza mshahara wangu kwa miaka yote 5, ananikata 15% badala ya 8% kama mkataba wangu na Loan Board unavyosema. Kwa sababu hizo kura yangu hapati. Wewe serikali yake katika sekta yako kwa nini hapati kura yako?
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania DAS Hassan Ngoma: Kumsifia Rais Magufuli siyo kigezo cha kukuteua

    KUMSIFIA JPM SIO KIGEZO CHA KUKUTEUA- HASSAN NGOMA " Kigezo cha kusifia Mh. Rais sio njia ya kuteuliwa wangeteuliwa watu wengi sana, lakini Mh. Rais anachoangalia ni vyeti, kama unakuwa Kiongozi huna masters sahau kuteuliwa ngazi ya kuwa Kiongozi, cha kwanza ni sifa " @hassanngoma360, Katibu...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Rais okoa Shule ya Msingi Mpakani iliyopo chini ya nyaya za umeme mkali

    Zaidi ya miaka 40 shule hii ya msingi Mpakani iliyopo kata ya Mabibo mkoa wa Dar es Salaam kujengwa chini ya nyaya za umeme mkubwa wa gridi ya Taifa hali inayohatarisha maisha ya wanafunzi, maana nyaya ikikatika lazima maafa makubwa yatokee Simu za nyuma Tanesco walivunja nyumba zilizopo ndani...
  16. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

    Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa. Ikumbukwe kwamba...
  17. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

    Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli? Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu hatakutana na mawakili wapya kuwaapisha. Je, haamini taarifa za Serikali kuhusu Corona?

    Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam? Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

    KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM “ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ”...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee Shomari: Oktoba mwaka huu watanzania wanatoa zawadi za shukurani kwa Dkt. Magufuli

    Ukweli ndio huu anasisitiza huyu mzee. Anasema kura inazoenda kupata Ccm zaidi ya 95% ni zawadi kwa JPM na chama cha mapinduzi. Mfano tu kodi ilikuwa inakusanywa kwa wastani wa bil 800 lakini kwa muda wa miaka minne imefikia wastani wa tril 1.6. Hapo kwa nini wakulima na wafanyakazi wasimshukuru...
Back
Top Bottom