Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,848
109,554
KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM

“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ” - Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Tido Mhando wa Azam TV.
 
GENTAMYCINE,

Huyu hatakubali sawa, lakibi tutamlazimisha, na Hana choice ktk hili! Sisi ndio tunaamua siyo yy!
 
Issue iko namna hii .urais ni taasisi naamini nyerere,mzee mwinyi,mkapa,kikwete,magufuli,viongozi wa dini na wakiserikali, ndio wanaunda iyo taasisi,hivyo kutokua madarakani hakuzuii kuongoza nchi,ndio maana tunawaenzi wote waliopita kwakuwa bado wanaendelea kuongoza,hata Leo hii nyerere anaongoza nchi hii japo kimwili hayupo
Unajidanganya
 
Huyu hatakubali sawa, lakibi tutamlazimisha, na Hana choice ktk hili! Sisi ndio tunaamua siyo yy!

Kumbe Wanafiki wa hili Sakata bado mpo wengi tu ndani ya CCM hii ya 2015 hadi 2025?
 
Kumbe Wanafiki wa hili Sakata bado mpo wengi tu ndani ya CCM hii ya 2015 hadi 2025?
Kwa Nini unatamka unafiki? Hapa ni Tz kwanza, urusi wanalijua Hilo na China wanalijua Hilo pia! We unamaanisha hulijui kweli!?
 
Back
Top Bottom