Serikali ihamishie maslahi ya wabunge kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,585
15,366
Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuishauri Serikali.

Lakini kama mkuu wa wilaya akiongezewa kazi za kusimamia kabisa kila shughuli za maendeleo ya wilaya huku akihakikisha mgawanyo wa keki ya taifa wilayani kwake atakuwa anafanya kazi kubwa kuliko Mbunge.

Napendekeza Ili kuwapiga chenga za mwili wote wasaka vyeo kwa mgongo wa kuwawakilisha waumini kumbe wanavutiwa na lupulupu za mjengoni.

Aisee Mkuu wangu, fanya kajambo flani hapo ili kubadilisha saikolojia ya siasa kabisa nchini.
 
Back
Top Bottom