jpm

  1. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli hata amualike Trump kumuombea kura bado hatoshinda

    Nimemsikiliza mzee Museveni akisema amealikwa kwenda Chato na mwishoni akamalizia kwa kumuombea kura mgombea Urais kupitia CCM ndugu JPM. Aisee tumpe taarifa kua this time is for TUNDU, CCM imetawala miaka 59 hakuna ilichoifanyia Tanzania. Hii awamu ya 5 sioni jipya lililoleta madhara changa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alishasema hatabadili Katiba ili kusalia madarakani. Kwanini Kabwe, Membe, Tundu Lissu mnamenea mnamnenea uongo ?

    Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi. Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anakataliwa mpaka na wazee hapa Bagamoyo

    Kwa wiki nzima nilikiwa Bagamoyo. Na nimesikiliza mijadala mingi sana ktk viunga vya mji huu wa kihistoria kuhusiana na kampeni zinazoendelea. Nami ktk nyakati na maeneo tofauti nilikuwa najaribu kuchomekea kutaka kujua watu wana matamanio ya kumchagua nani ktk uchaguzi wa 28/10/2020, na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

    Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri. ======= 10:15 Asubuhi: Dkt. Magufuli awasili uwanjani 10:18 Asubuhi: Dua na Sala...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

    Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane. Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu. Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa kuelekea Bima ya Afya kwa wote chini ya Magufuli

    Serikali ya CCM imepiga hatua kubwa sana katika kuelekea lengo la Bima ya Afya kwa wote. Japo suala hili limeibuka kwa kasi katika kipindi cha kampeni mwaka huu natumaini Watanzania wenzangu mtakubaliana nami kwamba Serikali imekwisha piga hatua kubwa sana kuelekea katika bima ya Afya kwa wote...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya miaka mitano ya CCM, wateule wa Rais Magufuli hawatatui kero za Wananchi. Hapa tatizo lipo wapi?

    Mimi Idugunde huwa sipendi unafiki hata kidogo. Ni kweli CCM imefanya makubwa kipindi hili cha awamu ya kwanza ya uongozi wa JPM. Lakini kuna kasoro moja kubwa sana imejitokeza kwenye utawala wa huu. Maana kila anapofanya ziara zake Rais Magufuli huwa anakutana na watu ambao wana kero ambazo...
  8. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 JPM kwenye mabango, Tundu Lissu kwenye mioyo ya watu

    MAKALA hii nimeanza kuandika jana, nikiwa kwenye jukwaa la CCM, mjini Musoma. Mengi nimeyashuhudia kwa macho yangu, lakini kwa nafasi yangu hususan kwenye timu ya kampeni ya mgombea wetu nitajadili machache: Nimeshuhudia baadhi ya watu muhimu kwenye timu yetu wakifuatilia hotuba za Lissu kwa...
  10. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Ewe mwananchi, Septemba 7 yako ni nini katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Magufuli?

    Kumbe sptemba saba haimhusu Lissu tu kipigwa risasi. Wengi wetu tuna septemba 7 zetu. Lissu kanifumbua macho! Binafsi Septemba 7 yangu ni kutoongezwa mshahara wala kupandishwa cheo kwa miaka mitano iliyopita. Matokeo yake ni nini? Matokeo yake ni kwamba mipango yangu yote ya maendeleo...
  11. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

    Kwa kweli Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako. Wamechanganyikiwa kabisa hadi sasa wamebobea katika ulaghai. Mweeee! Embu msikie mwenyewe kiongozi wa MATAGA.
  12. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

    Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla. Tunaamini yapo...
  13. Anna Muungano

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Na Baraka Mina. Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu. Agosti 25, 2020 M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  17. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania MO ashambuliwa mitandaoni na Wanasimba baada ya kumpigia Kampeni "Zungu" na Magufuli Simba Day

    Wanasimba walichukizwa saana na kitendo alichokifanya MO jana wakati akimtambulisha mgeni rasmi aliyekuwa Mbunge wa Ilala Zungu kwa kuanza kumuombea kura uchaguzi ujao na baadae akaendelea kwa kusema Magufuli oyeee huku akiomba wananchi waendelee kumuamini Rais na kumpa kura tena mwaka huu...
Back
Top Bottom