Uchaguzi 2020 Je, ni kwanini Magufuli anatafuta wadhamini kimya kimya?

Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Mkuu watu 200 unawapataje kwa mfano bila mkutano?Magu nae alifanya baada ya kuchukua form pale Dodoma but also this has been a practice kila mwaka hata 2015 wagombea walifanya hivyo
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake
 
Hakuna cha Kuanza kampeni au nini!!

Magufuli baada ya kuchukua fomu ya NEC alikwenda White House Dodoma, akaongea sera zake na akasema Sera zake zijazo!! Uzuri ilirushwa Live na kila mtu aliona, Kwenye page ya Magufuli facebook anapost kila leo, Magufuli tano tena, anapost Picha za miradi zenye hashtag magufuli tano tena. Sasa kama ni kuanza kampeni wote Magufuli na Lissu watakuwa wameanza kampeni na kama kukatwa wanatakiwa wakatwe wote.

Watu tunakusanya ushahidi wa kila kitu alafu tunawaangalia tu NEC.

Wajaribu kumkata Lissu. Kama wamechoka na amani ya Tanzania waseme tu maana sasa ni baaasi!! Tuko tayari watupige risasi wote waone kama watapona na Mahakama ya Kimataifa
 
Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.

Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!

Inauma na inaudhi, mtu ambaye hajajenga flyover, kununua ndege wala kujenga bwawa kukubalika hivyo. Tena hayo yanafanyika huku nchi ikiwa imeshurutishwa kuamini kuwa mtu huyo ni msaliti. Hali hiyo inaonyesha wananchi bado wanataka mabadiliko, na hawajayapata, bali miradi inayofanyika kwa kodi za wananchi ndio inatumika kulazimisha nchi irudi kuwa ya chama kimoja cha watoa rushwa. Mbinu pekee ni ushindi kama ule wa SM, maana wananchi hawaonekani kusujudia vitu.
 
Hakuna cha Kuanza kampeni au nini!!

Magufuli baada ya kuchukua fomu ya NEC alikwenda White House Dodoma, akaongea sera zake na akasema Sera zake zijazo!! Uzuri ilirushwa Live na kila mtu aliona, Kwenye page ya Magufuli facebook anapost kila leo, Magufuli tano tena, anapost Picha za miradi zenye hashtag magufuli tano tena. Sasa kama ni kuanza kampeni wote Magufuli na Lissu watakuwa wameanza kampeni na kama kukatwa wanatakiwa wakatwe wote.

Watu tunakusanya ushahidi wa kila kitu alafu tunawaangalia tu NEC.

Wajaribu kumkata Magufuli. Kama wamechoka na amani ya Tanzania waseme tu maana sasa ni baaasi!! Tuko tayari watupige risasi wote waone kama watapona na Mahakama ya Kimataifa
Mm sipo tayari kupigwa risasi! Usisemqe wote, sema mimi
 
Inauma na inaudhi, mtu ambaye hajajenga flyover, kununua ndege wala kujenga bwawa kukubalika hivyo. Tena hayo yanafanyika huku nchi ikiwa imeshurutishwa kuamini kuwa mtu huyo ni msaliti. Hali hiyo inaonyesha wananchi bado wanataka mabadiliko, na hawajayapata, bali miradi inayofanyika kwa kodi za wananchi ndio inatumika kulazimisha nchi irudi kuwa ya chama kimoja cha watoa rushwa. Mbinu pekee ni ushindi kama ule wa SM, maana wananchi hawaonekani kusujudia vitu.
Bwashee watu wengi wanaoenda kwa Lisu ni akina " Thomaso"......wanakwenda kujiridhisha kama " Ni Yeye " kweli?
 
Back
Top Bottom