jpm

  1. Mtini

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, BoT wamefanyaje kuifanya Tsh. kuwa stable against USD?

    Wakati wa Tawala zilizopita shilingi ilikuwa inacheza sana, ilikuwa haitulii kabisa. Hata JPM alipoingia madarakani kuna kipindi shilingi iliyumba sana hadi tukalamika hapa JamiiForum kuwa mabeberu kuna namna wanatuhujumu katika hili. Badae serikali ikaingilia kati tatizo likaisha shilingi...
  2. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Investing/ A growing Dodoma: I think President JPM hajaeleweka kuhusu mapato ya ardhi na nyumba

    Greetings! Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unaacha kujijenga zaidi, kutathmini ulikokosea na kukiinua zaidi Chama chako unakimbilia kumlaumu Rais Magufuli

    Mhe. Tundu Lissu anasema miaka 5 inayokuja ya utawala wa JPM itakuwa miaka 5 migumu sana kwa wananchi wote wa kila chama na wasio na vyama. Akaongeza kuwa JPM ni mtawala katili asiyejali haki za binadamu, demokrasia wala uchumi wa nchi yetu. Chanzo: Matukio Live Na CHADEMA mkiendelea...
  4. Securelens

    JamiiForums Tanzania VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

    Katika mahojiano aliyofanya leo na VOA, Lissu amekiri kuwa Watanzania wamempuuza kwa kutokuandamana pamoja na yeye kutoa wito huo kwa nguvu zote. Amesema hata kabla ya uchaguzi aliwahimiza watanzania kuwa tayari kuingia barabarani lakini bado haikusaidia, Watanzania walimgomea. Ametulaumu...
  5. J_Okay

    JamiiForums Tanzania CCM nao wameshindwa uchaguzi 2020, mshindi Dkt. Magufuli tu

    CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu Abu Kauthar Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo kilikuwa ni kikubwa mno. Kishindi cha bomu lililoteketeza sio tu vyama vya upinzani, bali hata mmea...
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

    Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku. Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenendo wa ushindi Kiti cha Urais toka Mwalimu Nyerere hadi Dkt. Magufuli

    1965-Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 2,520,904 sawa na asilimia 96.46 1970- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 3,220,636 sawa na asilimia 96.7 1975- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 4,172,267 sawa na asilimia 93.25 1980- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 5,570,883 sawa na...
  8. Dua

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Watanzania wote chini ya uongozi imara wa CCM na kiongozi wetu Dkt. Magufuli

    Hongera sana Watanzania kwa kutuheshimisha na kutuletea maendeleo. Dkt. Magufuli utaendelea kuwa kileleni katika uongozi uliotukuka. Sasa tuna kazi moja kubwa ya kuijenga Tanzania kuelekea kwenye maendeleo ya kweli ya kuwanufaisha Watanzania kutokana na kazi zao. Watanzania tusonge mbele...
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akishinda, Afrika imeshinda

    Kesho Oktoba 28, 2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nianze kwa kuwatakia Uchaguzi mwema wa Kizalendo kwa watanzania wote, ukiwa uchaguzi wa amani, huru na haki kwa watanzania wa vyama vyote, jinsi zote, dini zote, rika zote na kada zote. Uchaguzi huu ni muhimu kwa watanzania na Afrika...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

    Wanabodi, Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri, Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize Kwa faida ya...
  11. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

    Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015. Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

    Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri. Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

    Wanabodi, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kabisa Tundu Lissu 'Kura' tutapiga sana tu hiyo 28, Oktoba 2020 ila Watanzania 'Watamchagua' JPM pekee

    LISSU: TUKAPIGE KURA JUMATANO IJAYO Watanzania wenzangu, Jumatano ijayo tutapiga kura. Katika kipindi muhimu kama hiki, nawaomba Watanzania wenzangu wa dini zote tushirikiane kuiombea nchi yetu tuwe na Uchaguzi Huru na Haki, unaokubalika na unaoeleweka dunia kote ambapo sisi ni sehemu yake...
  16. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

  17. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Magufuli emulating the Vietnam’s revolution, Lissu should learn from Singapore the role of government in business!

    Firstly am delighted to realize differences in some policy propositions by Tundu Antipus Lissu — the Chadema opposition presidential candidate against those of the incumbent and the ruling party Chama cha Mapinduzi presidential candidate, Dr. John Pombe Magufuli. One of those important policy...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

    Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura. Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie. 1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano 1. Makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% bila sababu maalum tena kwa ubabe. 2. kutunyima...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli ana mpango wa kubadilika awamu ya pili?

    Mapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu. Baadhi ya mapungufu haya ni uminywaji wa demokrasia, kwa mfano ukandamizaji wa vyama vya upinzani, udhibiti wa vyombo vya habari...
Back
Top Bottom