Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.
Tunaishukuru sana katiba hii na wale...
Mpaka sasa naona nyimbo zilizotolewa na maomboleza ni nyingi ila hii ya Rosa Ree Kigodo inilize walahi, ya Wasafi sijaelewa sana japo imesheheni wasaniii kibao
Unaionaje Mtu wangu, hii hapa chini:
Njia pekee ya kumuenzi kwa mema yake na uchapakaji kazi ni ninyi Kuleta Kombe la CAF hapa Tanzania. Hili ndilo Deni mlilo nalo kwa Marehemu JPM aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunaomba Mlete Kombe la CAF TANZANIA. HALAFU SISI NA NINYI YANGA MTAVAA JERSEY ZENU ZA NJANO NASI...
Tunafahamu JPM (R.I.P) alikuwa rais mwenye msimamo mkali na maamzi magumu. Swali hapa ni je, mama atafuata nyayo zake au atakuja na sera mpya?
Je, haya yafuatayo atayashughulikia vipi?
- Suala la wafanyabiashara kuhamishia biashara zao nchi za nje.
- Suala a ajira rasmi kwa wahitimu.
- Suala...
Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani.
Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana...
Mmachinga kajenga kibanda chake, kimekuja kupigwa X na halmashauri na kuandikwa ONDOA KWA AMRI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Mmachinga kajibu SIONDOI KWA AMRI RAIS WA TANZANIA, NA NITAENDELEA KUWEPO KWA UWEZO WA MUNGU MWEMA.
Enzi zile unaenda ofisini kuonana na afisa elimu au mkurugenzi unakuta wabeba mafaili wanakushikiniza uwaambie kwanza unataka kumwambia nini unaetaka kumuona na bila kuwambia hivyo viranja/wabeba faili unapewa jibu kuwa bosi hayupo bila kujali umbali na gharama za nauli, vumbi ulilokunywa na...
KWANINI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMEVUNJWA Ni Mawazo Yangu #Joseph #Yona
Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:-
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni...
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana.
I advise him to do the same wakati...
UFAHAMU MRADI WA STRIEGLER'S GORGE NA MAONO YA SERIKALI.
Na Elius Ndabila
0768239284
Ikumbukwe kuwa mwaka juzi nilishawahi kuandika makala ndefu juu ya mradi mkubwa huu wa kuzalisha Umeme wa Striegler's George. Lakini bado kumekuwa na maoni mbalimbali ya watu juu ya huu Mradi na wengine...
Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo.
BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia...
Kama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid.
Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio kujipendekeza kupita kiasi kisa tu shemeji yake kapewa Uwaziri na yeye yupo bungeni akibeba pesa za walipa...
Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!
Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya...
Even as the world struggles to grapple with the brutal third wave of the COVID-19 pandemic, a small but vocal group of skeptics insists that sinister forces are exaggerating the effects of the virus, control measures like lockdowns are unnecessary, and newly developed vaccines are unsafe. These...
Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.
Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019...
Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini.
Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza.
Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia.
Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpaka leo hakuna kinga, ukimwi...
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele...
Salaam Wana JF,
Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.