Rais Magufuli kweli kawapa kiburi wamachinga, Chinga atunishia misuli Halmashauri

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,998
Mmachinga kajenga kibanda chake, kimekuja kupigwa X na halmashauri na kuandikwa ONDOA KWA AMRI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Mmachinga kajibu SIONDOI KWA AMRI RAIS WA TANZANIA, NA NITAENDELEA KUWEPO KWA UWEZO WA MUNGU MWEMA.

IMG_20210310_104348.jpg
 
Maisha yalivyo tight acha tu,
Waswahili wanakwambia mjini, sihami tuta banana hapahapa
 
Yeah! Unajua nyie mliokulia vijijini na mkaja mjini ukubwani na kuanza kushabikia mambo huku akili mmempa mtu awashikie mnakuwa wajinga sana
Sana, sielewi mm ndio nimekaza vyuma vyake au vip? Au shemeji yako kakufukuza kwake?
 
Hicho kibanda kama kipo ubungo mataa Ni kuni saiv na Mali zote mateja wamebeba...maana ile vunja vunja ya usiku ilikuwa kiboko...hakikusalia kibanda hata kimoja...
 
Back
Top Bottom