jpm

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

    Kazi iliyotukuka aliyoifanya Hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli tangia akiwa waziri hadi alipokuwa Rais wa awamu ya tano ni kubwa mno na inaonekana. Ingawa amelala mauti, jina lake, maono yake, miradi aliyoisimamia akiwa madarakani na Jitihada zake katika kulinda , kusimamia na matumizi ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

    JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "Eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha...
  3. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Mpambe na Walinzi wa Rais kisheria ikoje baada ya kifo?

    Nafasi za Mpambe wa Hayati Magufuli pamoja na Walinzi wake unatakiwa kukoma lini? Au pia na wao wanakuwa na mkataba? Je, kama wana mkataba unakoma baada ya kiongozi wao kukosa uzima wa kuishi? Naombeni watalamu watolee ufafanuzi.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

    WAZIRI MKUU WA UINGEREZA Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA Dkt. Akinwumi "Akin" Adesina ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Magufuli kupitia ukurasa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Chato wamuaga Hayati John P. J. Magufuli

    Watu ni wengi wengi, wengi sana na wamekaa kwa utulivu kabisa wakiwa na huzuni isiyo mfano. Kadhalika viongozi mbalimbali wako uwanjani tayari kutoa heshima za mwisho. Updates; Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wameshaketi katika sehemu walizopangwa na sasa wanasubiriwa viongozi wakuu wa...
  6. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha falsafa za Hayati Magufuli ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia

    Kivuli cha falsafa za JPM, ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia Deogratias Mutungi Ukweli wenye mantiki ndani yake upo wazi kuwa kivuli cha falsafa za JPM ni fumbo linaloishi sasa na litakaloendelea kuishi ndani ya mawazo ya rais Samia Suluhu Hassan, dhana hii inajengwa kifikra...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ajikite kutekeleza ndoto za Hayati Magufuli au atekeleze maono yake?

    Je, tunamshauri Rais mpya aendelee na miradi yote aliyoanzisha JPM au aendeleze ile miradi yenye tija kwa Taifa na pia aanzishe miradi ya ndoto zake? Hapa Kuna miradi yakitaifa na miradi ya maono binafsi ya JPM. Miradi yakitaifa ni mradi wa umeme wa rufiji, mradi wa reli, bomba la mafuta...
  8. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

    Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
  9. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi. Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi. Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania 2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

    Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa, Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa. Kwa kadri siku zinavyosonga na vizazi vingi kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Magufuli: Haya ndiyo Mazingira ya Mikataba Baina ya Afrika na Wakoloni/ Weupe

    Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli. Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au kusema ngoja nisome tena mara ya pili. Au kusema uvute hata pumzi kidogo kwa kunywa maji, labda...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijaaliwa watoto wangapi? Wangapi wapo ndani ya utumishi wa Umma?

    Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye hakupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya. Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama wekeni mpango mzuri wa watu kuaga mwili wa Hayati Dkt. Magufuli

    Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona mkiendelea kuonyesha full respect and security kwenye mazishi Kama ilivyokuwa wakati wa uhai wake...
  14. Kuchasoni Kuchawangu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza Maombolezo ya kumuaga mpendwa wetu Magufuli, tujiandae na maambukizi mapya ya COVID-19

    Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19. Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla...
  15. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

    Ndugu zangu poleni na msiba. Tukiwa tunaendlea na maombolezo ya JPM, naomba kuwajua wanyonge ambao huyu mtu aliwapigania na kuwatetea. Hii itasaidia kuweka kumbukumbu sawa. Kabla hatujamwita na kumfananisha na masiya. Je wanyonge aliowapigania ni kina nani? Aliwakuta wakiwa na hali gani...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

    Katika vitu ambavyo watu watamisi konvoi ya JPM ni huyu mlinzi wake anaeitwa Sebastian Mwavanga alikuwa pandikizi la mtu jeusi lisilocheka cheka hovyo alikuwa Ni alama kamili ya mamlaka ya Rais. Mwenye CV yake atuwekee hapa.
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

    Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu. Lakini leo hii tumepata picha kamili...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Mzee John Malecela: Mafisadi wote watakaojaribu kuivuruga CCM watashughulikiwa. Miradi yote aliyoacha Dkt. Magufuli ikamilishwe

    Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma. Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

    Ndiyo! Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye...
Back
Top Bottom