john

  1. Mag3

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

    Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.
  2. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
  3. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Filamu ya John Wick

    Mkongwe kwenye kazi za kimafia na muuaji wa kukodiwa asie na mipaka john wick,anastaafu hiyo kazi baada ya kuoa na kutulia na mkewe. Baada ya mkewe kuugua ghafla na kufa, John anabaki kwenye huzuni kubwa na maisha yakaendelea akiwa na zawadi ya mbwa alioachiwa na mkewe kama kumbukumbu. Mtoto...
  4. fungi6

    JamiiForums Tanzania Mjue rafiki wa Isaac Newton, Bw. John Wickins

    huyu ndie Sir, Isaack newton. Mtu alie kua mpweke mno. Hakua na mke wala mchumba wala maisha yakuchangamana na mtu yoyote yule duniani. Huyu jamaa aliwai kua na rafiki mmoja maishani. Alivyokua chuoni isaack newton alipata kua na rafiki mmoja tu kwa jina akifaamika kama JOHN WICKINS urafiki...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais John Pombe Magufuli - Madaktari Bingwa Wabobezi na TCU

    Mheshimiwa Rais! Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania. Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili. Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
  6. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais John Magufuli yathibitisha umahiri wake katika kupambana na corona na kuwalinda wananchi wake

    Ugonjwa wa Corona umeanza December 2019 katika mji wa Wuhan nchini China.Mpaka hivi sasa ugonjwa huu umeshasambaa kwa watu takribani 819,025 na kusababisha vifo vya watu wapatao 39,794 duniani kote akiwemo raia mmoja wa Tanzania. Kusambaa kwa ugonjwa huu duniani kumeleta taharuki kubwa kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tusaidie kampuni ya SKOL Building Contractors LTD itulipe mishahara na NSSF

    Hiki ni kilio chetu wafanyakazi cha zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kufuatilia suala hili bila mafanikio katika ofisi zifuatazo:- (1) Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (2) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (3) NSSF-Kinondoni (4) Vyombo vya habari vya binafsi na serikali (Shirika letu pendwa la...
  8. Debryune 17

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili na timu ya kuchezea soka, nina kipaji

    Naitwa YUSUPH JOHN. Nina miaka 20 nina kipaji na ndoto ya mpira natafuta mfadhili na pia timu. Please nisaidieni; mm ni maskini please please. Nahangaika sana kutafuta timu nipo Gongo la Mboto nacheza eneo la attacking mid-fielder.
  9. GodstarTZ

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zangu: Jihad John mkataji vichwa wa Islamic State

    Moja ya stori zilizotokea miaka ya 2014-2015 ni ya kijana wa kiarabu raia wa Uingereza ambaye alikuja kuwa tishio la dunia baaada ya kujiunga na kikundi cha ugaidi kinachojulikana kama Islamic State. Kijana huyu alikuwa anajulikana kwa Jina la Jihad John, huku akiwa maarufu sana kwa kuonekana...
  10. Lovekid

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Mwanamke

    TAHADHARI: NI KOSA LA JINAI KUUZA PASINA IDHINI YA MTUNZI. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini John Mwambigija akamatwa na polisi usiku wa manane

    Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata . Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Heche atikisa Sirali

    CCM na vyombo vya dola CHADEMA na Nguvu ya Umma
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pendekezo: John Mrema agombee ubunge jimbo la Vunjo

    Iko haja sasa ya Mkuu wa Itifaki wa Chadema kuchukua uwakilishi wa Wananchi wa Vunjo wanaomuamini na ambao walimtaka tangu 2015 . John Mrema ndio chaguo la Vunjo tangu awali lakini alikaa kando kutokana na kuheshimu makubaliano ya UKAWA , kwa faida ya wadau ni kwamba kama huyu jamaa akiamua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  16. Charlzdeo 97

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  17. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam. Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Kiongozi aliyechelewa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Yawezekana ilikuwa mipango ya Mungu

    Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
  19. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

    Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo. Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania President John Magufuli's pregnant schoolgirl ban angers Tanzanian women

    President Magufuli warned schoolgirls at a rally on Monday that: "After getting pregnant, you are done." A law passed in 2002 allows for the expulsion of pregnant schoolgirls. The law says the girls can be expelled and excluded from school for "offences against morality" and "wedlock"...
Back
Top Bottom