Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa CHADEMA , yaani anatema madini matupu ! Mnyika amesema:
"Sasa nifikishe ujumbe tu kwa Rais Magufuli, ambaye amesema yeye, akiwaambia mabalozi kwamba, uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa uchaguzi huru na haki ujumbe wangu kwa...
Habari my comrades
Kuna maneno mengi sana yanasemwa na mwanadamu kuhusu namna mbalimbali ndani ya jamii zetu, Lakini kuna sentensi zilizosemwa ambazo zitabaki na sisi wanadamu muda wote ambao tutakuwa wakazi kwenye hii sayari yetu ya tatu kutoka nyota jua. Mwanadamu kiumbe ambacho kazi yake...
Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu.
Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
Wana MWANZA wamempokea Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa shangwe na kuweka historia kwenye mkoa huo kwa kuamua kukabidhi hadhi ya Chifu wa Wasukuma.
Hakika huu ni msimamo wa kujivunia sana kwa wana MWANZA na inaonyesha kuwa sasa wameanza kujua mchele ni upi na chuya ni zipi kati ya CCM na CHADEMA...
WanaJF Salaam
Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.
Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho...
Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote.
Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban...
Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa.
Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
Wadau nimeandaa safari ya kwenda kuonana na Rais JMT hata nahitaji nikaonane naye ana kwa ana nifanye naye mazungumzo kama raia wa kawaida kijana mpenda maendeleo.
Watu wengi sana wamekuwa wakienda Ikulu lakini hao ni wale wenye channel.
Je, kwa mimi nisiye na channel ama kujuana na yoyote...
Dr. Prince Katega II: WAZUNGU WANAMWOGOPA SANA MAGUFULI
December 2, 2019
Mwana diaspora Dr. Katega II anatuletea gumzo alilolisikia akiwa mtanzania mwenye makaazi ulaya ya Kaskazini juu ya mafanikio makubwa ya serikali ya awamu ya 5 katika utawala wake ndani ya miaka minne ya mwanzo toka kuanza...
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na...
WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema kutojitokeza wagombea wa vyama vya siasa vya upinzani kugombea nafasi za wenyeviti za Serikali za Mitaa, Vitongoji na Kata katika Jimbo la Mtera kunaonesha namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyojikita katika kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo...
Viongozi wa dini zote wanalojukumu kubwa la kujenga mioyo ya wanachi kwa kutekeleza yale Mungu anayoyataka na kuya acha yale Mungu anayokataza. Hili linathibitika katika dini ya Kiislamu tunapo ambiwa katika Quar-an takatifu kuwa litoke kundi miongoni mwenu litakalowaamrisha watu mema na...
Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla...
"We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo...
Naenda moja kwa moja kwenye point. Hizi ni kauli 2 za kiroho kutoka kwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli.
1. TANZANIA NI NCHI TAJIRI/ WE ARE A DONOR COUNTRY.
This voice was coming from God himself. Magufuli was just used as a mouthpice of...
Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna.
Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.