Rais Magufuli unanifurahisha sana, endelea kuwaumbua wazee wa ndiooooo wanaotoa rushwa ili uchaguzi 2020

superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
5,610
2,000
Mzee JPM kunawakati inabidi nikupongeze tu hata Kama roho yangu haitaki .

Hawa jamaa zako ambao hawana faida kwa taifa kazi yao ni ndioooooooo na kupiga meza wanaumbuka vibaya Sana.

Kila siku yanakamwatwa kwa rushwa hii ndio Safi mzee baba yajifunze kuwa ushetani wao unamalipo hapahapa duniani.

Umewageuka mbayaaa na Sasa wanaona haya na wasirudi Tena mjengoni ili wajifunze kuwa watu wa haki.

Wakati upinzani ukilia wait walikuwa wanacheka na kupiga meza pwaa pwaa pwaa Sasa walie kivyao.

Orodha yangu mpaka Sasa waliokamatwa na takukuru kwa rushwa ni

Obama
Matayo David
Vikta serukamba nk

Ongezea uwajuao wengine.

Na bado Wala rushwa wakubwa nyie.
 

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,202
2,000
Magufuli kwanza atuoneshe zilipo Tl 1.5 na mil 50 kila kijiji
Milioni 50 walizijibu kisanii, nilikubali lakini 1.5 trillion bado wameshindwa kijibu hta kisanii , wakati huo huo kwenye maandishi ya CAG wamebakinayo!!

Wamemtoa CAG wa watu wakati mandishi wanayo?
 

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
1,757
2,000
Na wadakwe tu, hatutaki mbeleko ya fedha, upendwe upendwe kweli, sio upendwe sababu ya pesa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom