Naomba kujuzwa jinsi ya kulipa faini za barabarani

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,129
7,896
Wakuu naomba mwongozo wa jinsi ya kulipa faini ya barabarani. Je, inawezekana kufanya malipo haya online au utaratibu umekaaje?
 
Bado hamjaniambia jinsi ya kupata hiyo control number.
Ulipoandikiwa fine ulipewa karatasi yenye control no, kama umepoteza nenda kwa Trafik mwambie akutizamie kama gari inadaiwa endapo una deni lazima itakuja na control no pamoja na kosa ulilofanya na mahala ulipoandikiwa fine + traffic aliekuandikia hiyo fine
 
Nimeingia kwenye hiyo website nimeona taarifa hizo za hiyo tiketi ila hakuna control namba.

Ulipoandikiwa fine ulipewa karatasi yenye control no, kama umepoteza nenda kwa Trafik mwambie akutizamie kama gari inadaiwa endapo una deni lazima itakuja na control no pamoja na kosa ulilofanya na mahala ulipoandikiwa fine + traffic aliekuandikia hiyo f
 
Hiki ndiyo nimachokiona mtandaoni.

20210205_114122.jpg
 
Itakuwa basi hiyo reference number ninayoiona ndiyo mnaita control number.
Ref ina anza na 99... jua ndo control #. Ukilipa kwa transaction ya simu kabla ya mwisho kubali itaonesha kama iko sawa. Ila hakikisha una hela inayolingana au kuzidi hiyo 55000 vinginevo itagoma
 
Ref ina anza na 99... jua ndo control #. Ukilipa kwa transaction ya simu kabla ya mwisho kubali itaonesha kama iko sawa. Ila hakikisha una hela inayolingana au kuzidi hiyo 55000 vinginevo itagoma

Nimeshawapa hela yao ikajenge SGR.
 
Back
Top Bottom