Salaam Wakuu,
Katika andiko la leo tutaangalia mbinu za ujumla za kuandika makala. Natambua kuwa zipo aina nyingi za makala na upo uandishi wa aina nyingi lakini uzi huu utajaribu kuangalia mbinu za msingi ambazo zinaweza kutumika kuandika makala. Tambua ya kuwa miundo ya kuandika Makala ipo ya...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka
Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake
Nimeshatengeneza excel file yenye collum
Jina|Phone number|SMS
Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
Nchi nyingi hasa za Afrika zimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya wanyama pori ambao wanachukuliwa kama kivutio cha watalii lakini pia wanatumika kama chanzo cha kuiingizia nchi mapato yanayotokana na utalii, na pesa zinazopatikana zinatumika kuleta maendeleo ya nchi.
Mwezi Mei mwaka jana...
Habari zenu wana JF,
Ni wazi kwamba watu wengi hatuna elimu ya kutosha jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa wapendwa wetu pindi wanapopata matatizo mbali mbali ya kiafya kabla ya kuwapeleka hospitali. Wakati mwingine mtu anaweza kupata tatizo litakalomfanya aweze kudumu kwa dakika chache tu bila...
Nina mpango wa kuanzisha app and website ya online learning kutoa course mbalimbali.
Nimetafuta developer hapa bongo kwa kweli bei zao zipo juu sana. Wenye uwezo mzuri wamenipa bei ya mpaka million 7.
So nimeona nitafute alternative sababu nimesikia fivver na upwork unaweza pata developer...
Wanajamii Forum
________________
Ninaomba kama kuna mtu anaweza akawa na idea kuhusu namna ya kushiriki kikao, mkutano ama shughuli yoyote ya kiongozi wa kitaifa Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nk...
Mfano kuna taarifa kuwa hivi...
Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii Tecno.
Kwako mama Samia,
Inasikitisha kuona wizi wa mafuta bado upo tena sasa ni unaendelea kuwadhulumu wafanyabiashara wa mafuta wanaotumia Kurasini Oil Jetty yaani baada ya kusomeka katika flowmeter mafuta yananyonywa na wanaonunua wanabaki wakipata mafuta pungufu. Hii si sawa!!
Nashauri bomba lote...
Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema.
To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni mgeni kwenye matumizi ya PS na hii mission ya kwanza kwenye PS3 nataka niskip lakini sifahamu yeyote anayejua msaada tafadhali.
Salaam!
Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
Elimu ya bure kwa vijana mnaoanza kazi / mlioanza na mnapata ugumu kuishi/ kufanya kazi na mabosi watata. Fanya yafuatayo ataacha utata yeye mwenyewe:-
1. Jipendekeze sana kwake,
2. Uwe mtu wa kumsifia kuwa anaweza sana kazi,
3. Akifanya presentation mwambie hujawahi kuona mtu bright kama...
Zama tunazoishi sasa ni zama ngumu mno ambapo mtu usipokuwa na msingi imara utaishia kuanguka vibaya.
Fursa ni nyingi mno, lakini nyingi siyo fursa za kweli.
Fursa hizo zinahamasisha na kutamanisha kwa sababu unaona kabisa wengine wakinufaika nazo.
Kumbe hiyo ni sehemu ya mtego wa kukunasa ili...
Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly.
Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi.
1) Apply to your skills related jobs...
JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi.
Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa?
Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini?
Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo.
Angalia...
wanaume wa aina hii wapo wengi
Sasa ukikutana na mwanaume wa aina hii ujue kuna kitu
labda anataka muachane au ana mchepuko ama ni hulka yake tu kuwa mkorofi.
Visa huwa haviishi sasa unatakiwa ujue jinsi ya kuishi naye;
Mfano akianzisha ugomvi fanya kumuacha aendelee ili umsaidie kutoa yote ya...
Habari wanajamvi,
Kwa wale tunaofanya kazi mtandaoni, what's the best way kutransfer hela from Wise kuja Mpesa/Tigopesa?
Kuna rafiki yangu kaniambia Mpesa ni dakika 30, sasa bank transfer nilijaribu, wananiambia 48 hours!
Msaada please.
Chakula tunachukula kina uhusiano mkubwa na hali zetu za kupenda au kutopenda kufanya mapenzi. Kiujumla chakula chenye virutubisho vya kuusaidia moyo na mishipa ya damu kufanya kazi zao vizuri vitakuweka kwenye hali ya kuwa na matamanio ya kufanya tendo la ndoa. Ukweli huu unahusisha pia chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.