JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 625
- 938
Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu
Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni
Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana mikono, kukumbatiana na kubusu
Ni lazima kuzingatia usafi wa mazingira, kunawa mikono kwa maji na sabuni,
Zingatia kuepuka kukaa katika upepo mwingi na kunywa vitu vya baridi sana.
Epuka mikusanyiko na safari zisizo za lazima na ukae umbali wa hatua tatu kutoka kwa mtu na mtu
Epuka kugusa macho, pua na mdomo bila kunawa mikono au tumia vitakasa mikono
Vaa kikinga mkono (Glovsi) kama unafanya kazi za kuhudumia Watu wengi