jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe aendesha Semina ya Kilimo Chenye Tija Kata ya Myunga JImbo la Momba

    Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya kikao cha ndani kilichowakutanisha viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Myunga na Mtaalamu wa Kilimo kutoka Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko na Benki ya NMB Mbunge...
  3. Mganguzi

    DOKEZO Ili uruhusiwe kufanya biashara jimbo la Ukonga ni lazima uwe na Cheti cha COVID-19 pamoja na cheti cha afya

    Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19. Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
  4. Stephano Mgendanyi

    Miradi Mipya ya Elimu Jimbo la Mufindi Kaskazini

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE AKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MADARASA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe tarehe 29 Julai, 2023 mpaka tarehe 30 Julai, 2023 amefanya ukaguzi wa ujenzi wa Madarasa, Vyoo na Nyumba...
  5. Stephano Mgendanyi

    Uzinduzi wa Bwawa la Maji la Muko (Bilioni 1.9) Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo Jimbo la Momba

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso tarehe 01 Agosti, 2023 amezindua mradi wa Maji wa Bwawa la Muko wenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.9 lililopo katika Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo ndani ya Jimbo la Momba. Bwawa la Maji la Muko lina uwezo wa kuchukua Maji Lita Milioni 166,386,474 na kuhudumia...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ngassa - Hakuna Kata Ambayo Haijapata Mradi wa Maendeleo Jimbo la Igunga

    MBUNGE NGASSA: "HAKUNA KATA AMBAYO HAIJAPATA MRADI WA MAENDELEO" "... Ilani ya Chama (CCM) inatekelezwa kwa ufasaha ndugu zangu, Chini ya uongozi wa Mama Yetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..." "... Jimbo letu lina Kata Kumi na Sita...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe Afanya Mkutano na Wakulima Kata ya Chitete Jimbo la Momba

    CONDESTER SICHALWE AKUTANA NA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MOMBA KILICHOFANYIKA CHITETE Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 24 Julai, 2023 amefanya mkutano na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Momba kwa lengo la...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Tauhida Gallos akabidhi vifaa vya ujenzi na michezo Jimbo la Welezo Mkoa wa Magharibi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya michezo na ujenzi katika Jimbo la Welezo. Mbunge Tauhida na Mwenyekiti UWT Mkoa wa Magharibi...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe awasihi waumini Kanisa la Moravian kufanya maombi kwaajili ya Jimbo la Momba

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE ASHIRIKI IBADA KANISA LA MORAVIAN KIJIJI NTINGA KATA YA MSANGANO Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ameshiriki ibada katika Kanisa la Moravian lililopo Kijiji cha Ntinga Kata ya Msangano ambapo amesisitiza watumishi na...
  10. mwanzo wetu

    Jimbo la Buhigwe linaliwa kama mchwa

    Habari wakuu,. Poleni na majukumu , Nianze Kwa kusema kuwa Jimbo la Buhigwe ni Moja ya Jimbo ambalo linapokea Miradi mingi ya maendelo Kuliko wilaya nyingi za hapa Tanzania, na Hii ni kutokana na Jimbo Hilo kuwa eneo analozaliwa makamu wa Rais hivyo Hii imechangia sana kupata maendeleo haraka...
  11. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Igunga - Shilingi Bilioni Mbili zimetumika kujenga Madaraja ya Kata za Mtungulu na Mwamashiga yaliyokuwa kero kwa muda mrefu

    📍 Mtungulu, Igunga Msafara wa Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa ukiwa umesimama kwenye Daraja la Mto Mtungulu huku Wajumbe wa msafara wakicheza kwa furaha baada ya kuona ujenzi wa daraja umekamilika kwenye Mto uliokuwa ukisumbua Wananchi kuvuka kutoka upande mmoja kwenye...
  12. J

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani?

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani? Jamani hili swali limenishinda. Nisaidieni.
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Jimbo la Mwanga akagua Miradi ya Maendeleo, Kusikiliza Kero za Wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Mwanga Joseph Tadayo amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vinne vya kata ya Toloha na Kwakoa wilayani humo mkoani Kilimanjaro. Katika ziara hiyo Tadayo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambapo...
  14. Stephano Mgendanyi

    Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Jimbo la Peramiho

    UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI JIMBO LA PERAMIHO Mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. JENISTA J. MHAGAMA ameendelea na Ziara Katika Kata ya Parangu Kijiji Cha Litowa. Mhe. Jenista Mhagama Katika Ziara Jimboni Peramiho...
  15. Stephano Mgendanyi

    Maji ya Ziwa Victoria kuwafikia Wananchi wa Jimbo la Kaliua

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amesema kwamba neema ya Maji kutoka Ziwa Victoria sasa imewafikia wananchi wa Jimbo la Kaliua kwani Kampuni ya Megha Construction and Infrastructure Limited imeshafika Kaliua kuanza utekelezaji wa mradi Mhe. Aloyce Kwezi amesema Kampuni ya...
  16. S

    Waziri Mhagama awataka wananchi jimbo la Peramiho kumshukuru Rais Samia

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WANANCHI JIMBO LA PERAMIHO KUMSHUKURU RAIS DKT SAMIA. NA STEPHANO MANGO, SONGEA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Joakim Mhagama ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Peramiho ya kukagua miradi...
  17. I

    Zijue nchi sita tajiri katika Afrika wakati Pato la jimbo la California linazidi pato lote la Afrika

    Hii ni orodha ya nchi sita zenye pato kubwa katika Afrika na nchi maskini sana katika Afrika. https://a-z-animals.com/blog/richest-countries-in-africa-today-ranked/ Did you know that the highest state Gross Domestic Product (GDP) in the United States measures greater than the highest country...
  18. Stephano Mgendanyi

    Milioni 500 Kumaliza Ujenzi Kituo cha Afya Madilu - Jimbo la Ludewa

    MILIONI 500 KUMALIZIA UJENZI KITUO CHA AFYA MADILU Mbunge wa jimbo la Ludewa Joseph Kamonga amesema nwaka huu serikali inatoa kiasi cha sh. Mil. 500 kwaajili ya umaliziaji ujenzi wa kituo cha afya cha kata ya Madilu ambacho wananchi wamejenga kwa asilimia 80 kwa kuchangishana fedha kwa kipindi...
  19. U

    Kwanini Mwabukusi(Mtanganyika) aigimbee Ubunge kutukomboa wananchi

    Kuliko kuwa na wabunge ambao wameonesha uwezo mdogo wa kupangua na kuchangia Hoja , Nina Kila sababu Mimi kama mtanzania Kuona haja ya kuwaondosha baadhi ya wabunge katika mjumba ule wa heshima na kusajili wabunge wapya wenye kaliba ya wakili mwakabusi na wengine wengi, kwani watatusaidia katika...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kamonga Apokea Kilio cha Lumbesa Madilu Jimbo la Ludewa

    MBUNGE KAMONGA APOKEA KILIO CHA LUMBESA MADILU JIMBO LA LUDEWA Wananchi wa kata ya Madilu iliyopo Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wamelalamikia vipimo vya viazi wanavyohitaji wanunuzi ambapo wamekuwa wakihitaji ujazo wa Lumbesa kitu ambacho kinawapa hasara wakulima hao. Wakitoa malalamiko hayo...
Back
Top Bottom