TANZIA Padre wa Jimbo la Bukoba Afariki kwa Ajali ya Pikipiki

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
IMG-20230819-WA0018.jpg

TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA

Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa hivyo. Ni majonzi makubwa. Alikuwa anafanya kazi katika Parokia ya Ishozi wilaya ya Misenyi Jimboni Bukoba.

Pole sana kwa Ta Wincheslaus Barongo baba yake Pamoja na Mama yake na wana Bumbile wote. Pole kwa mapadre, watawa na waamini wa jimbo la Bukoba na kanisa zima la Tanzania.

Sote tumwombee kwa Mungu apumzike kwa amani Amina.

RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI.

Askofu Method Kilaini
Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki la Bukoba
 
View attachment 2721859

Gone too soon
 
Anakufa na dhambi zake Mungu akamhukumu mtetezi wa wezi wa bandari

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom