Hivi hawa Ihefu ndiyo wale wale walio wafunga kweli Yanga goli 2-1 kule Highland Estate!!
Mpira umemalizika muda si mrefu leo tarehe 18/12/2023 kwenye uwanya wa Jamhuri Dodoma.
Yaani msimu mzima wanajiandaa kwa ajili ya kuifunga Yanga tu kwenye uwanja wao wa nyumbani, halafu baada ya hapo...