jiji

Jiji refers to an ethnic and linguistic group based in Kigoma Region, Tanzania.
If tribes are classified by language and not by race, Bajiji (Jiji people) are part of Baha (Ha people) since their language is the same. Traditionally they were organized into a separate kingdom, Bujiji (Swahili Ujiji, same as the Arab town of Ujiji near Kigoma), and formed part of Buha (Uha, Ha territory) with other kingdoms: Heru, Bushingo (Ushingo), Ruguru (Luguru), Muhambwe and Buyungu, all of them in Kigoma Region, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru, wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanarundika ndoo zenye maji ndani

    Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua inyeshapo, maji hayapatikani kwa masaa 24 kwa wiki. Tukilinganisha na nchi kama China, yenye watu 1.3...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Atimiza Ahadi Yake ya Milioni 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha

    MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
  3. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Hili hapa Bata la nanenane 2024 ndani ya Jiji la Mbeya...!!

    INTRODUCTION:- Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii" Twende kwenya mada .... BODY:- Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07. Na hii ndio ratiba ya gambe .... 1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe...
  4. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania CHAMA LANGU PAMBA JIJI MNACHOENDA KUFANYA NI KUIGAWA VIPANDE VIPANDE TIMU

    Tulikubaliana tukipanda daraja hakuna kuwa na ukaribu wa namna yoyote na timu za kariakoo. cha ajabu uongozi umeenda kuchukua udhamini wa GSM kwenye utengenezaji wa jezi na pia kuwa mdhamini wake mkuu kupitia kinywaji chake kipya cha juice. Tunajua timu nyingi za Tanzania zina hali mbaya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya TACTIC ya ujenzi wa Barabara, Kituo Kikuu cha Mabasi na Soko Kuu la Jiji yasainiwa Mbeya

    Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Mbeya kwa hatua ya kuanza kuboresha miundombinu mbalimbali katika Jiji la Mbeya...
  6. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Dodoma jiji kuna utekaji watoto?

    Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi mnaoishi huko dodoma tuambieni, hali ipoje, si mnajua familia nyingi zimehamishiwa huko mkaacha wanaume...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isiwe na kodi moja kwenye makato yake?

    Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa. Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Unafahamu jina la awali la jiji la Dar es Salaam?

    Jiji la Dar es Salaam lilianza kama Kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara la Afrika Mashariki na ambazo zilijulikana kama ‘Caravan Routes’. Ujenzi wa Makao ya Sultani pamoja na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Karibu Mama Samia katika Jiji la Mwanza

    Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza. Nyote mnakaribishwa....
  10. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Mayor wa jiji kakosa ubunifu na usafi

    1.Barabara hazifanyiwi usafi.Wanawatumia wafagiaji wa mafagio ya mkono badala ya mashine. 2.Ile barabara ya ufukwe ilitakiwa ipandwe mfano palm trees 3.Ufukwe wa posta ya zamani ile ni pesa.Wangebuni mfano kile kituo cha mwendokasi kiwe pale kwenye garden na ile garden itazamane na bahari...
  11. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unastahili kuwa na jiji litakaloandaliwa kuwa nembo na kielelezo cha taifa?

    Katika kuhamasisha utalii na kuitangaza nchi yetu na miji yetu, mnaonaje serekali ingeweka mpango mkakati katika baadhi ya miji kuiandaa kuwa nembo ambayo kila mtu atakapofika kwenye miji hiyo asiache kuondoka na kumbukumbu nzuri ya kwenda kuelezea. Mji utakaokuwa ni kielelezo cha:- 1.historia...
  12. ankol

    JamiiForums Tanzania Terminal ya SGR kuwa katikati ya jiji

    Habarini wana jamvi. Wakati ujenzi wa reli ukikaribia kuzinduliwa kwa route ya Dar es Salaam - Dodoma Hivi ulishawahi kujiuliza wasomi wetu waliwaza nini kutengeneza daraja kubwa kuanzia vinginguti mpaka posta? Unaweza piga hesabu pesa kiasi gani imetumika ili treni ifike tu posta...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mhasibu jiji la Mwanza afariki ajalini akiwahi kwenye mazishi

    Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika leo wilayani Kwimba mkoani hapa. Akizungumza na Mwananchi kwa simu Jumanne Juni 4, 2024, Kamanda...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je, Unauza nini ndani ya Jiji la Dodoma na unahitaji wateja?!

    Ukiwa unauza Kiwanja, Nyumba, Gari ama pikipiki n.k ndani ya Jiji la Dodoma Basi usisite kunitafuta ili tutafute wateja kama una bidhaa pia nitumie kwenye namba hizi CALL AND WASAP 0785076070 HATA KAMA UNA BIASHARA INAHITAJI WATEJA USISITE KUNITAFUTA. AHSANTE I 🤝
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bora Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji Dodoma, Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini

    Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee. Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
  16. Kulwa Paschal Martin

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo ya kuboresha katika Jiji la Dodoma ili kuleta taswira ya makao makuu ya nchi

    UTANGULIZI. Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM. Rais John Pombe Joseph...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Biteko Apongeza Mikakati ya Kuinua Elimu Dodoma Jiji

    NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO APONGEZA MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI - Ampongeza Mbunge Mavunde kwa ubunifu wa Teachers’ Breakfast Meeting - Mbunge Mavunde agawa photocopiers kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani - Prof. Mkenda aanika mikakati ya serikali kwenye Elimu - RC Senyamule aeleza...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi aifunga Ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa. Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa...
  19. GITWA

    JamiiForums Tanzania Pamba jiji Mwanza (wana tupwisa lindanda mazembe kawekamo)

    Kwa wale wapenzi na mashabiki wa PAMBA timu ya Mwanza iliyopanda ligi. Timu iliyowahi kutupa furaha watu wa Mwanza na viunga vyake especially Kanda ya ziwa. Tukutane hapa kuwa tunapeana updates za chama letu la PAMBA.
  20. Kang

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunadaiwa zaidi ya Pound million mbili na jiji la London UK

    Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo hatujazilipa.
Back
Top Bottom