FT. Dodoma Jiji Fc 1, Ihefu Fc 0

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
28,391
81,864
Hivi hawa Ihefu ndiyo wale wale walio wafunga kweli Yanga goli 2-1 kule Highland Estate!!
Mpira umemalizika muda si mrefu leo tarehe 18/12/2023 kwenye uwanya wa Jamhuri Dodoma.

Yaani msimu mzima wanajiandaa kwa ajili ya kuifunga Yanga tu kwenye uwanja wao wa nyumbani, halafu baada ya hapo wanageuka kuwa pombe ya kwenye sherehe!

Kwenye msimamo wa Ligi, wako mkiani na mwenzake Mtibwa Sugar!! Ndugu zangu wa Ihefu, kiweni makini! Mtashuka yena daraja. Huu utaratibu wa kuikamia timu mmoja tu ni wa hovyo. Badilikeni.
 
Timu za mikoani km sio droo basi ni moja bila ikiwa tofauti kidogo ni mbili moja

Halafu wanacheza kwa kutegeana kutafuta droo makusudi

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom