Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
27,542
34,871

Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment​

By Rédaction Africanews
with AFP
Last updated: 28/04/2023
Major General Jeff Nyagah -
Copyright © africanews
cleared

The Kenyan commander of the East African Community Regional Force deployed to halt the advance of an armed group in the eastern Democratic Republic of Congo has resigned.

In his resignation letter, Major General Jeff Nyagah said he was leaving because of concerns for his safety after consistent harassment by forces he described as ‘mercenaries’.

He also spoke about the impact of “well-orchestrated and financed negative media campaigns” against him personally, but also making “false accusations” about the regional forces alleged complacency in its handling of the M23 militia.

The group took up arms in 2021, conquering large swathes of territory in the DRC’s North Kivu province.
Kinshasa accuses neighbouring Rwanda of supporting the M23, a claim corroborated by United Nations experts and Western countries, although Kigali denies it.

There are thousands of soldiers – including from Kenya, Uganda, Burundi, and South Sudan - in the East African peacekeeping force.
They are tasked with trying to calm deadly tensions fuelled by armed groups in the region where the embattled population is impatient for effective peace.

The eastern DRC has been plagued by violence from multiple armed groups for nearly 30 years. The East African Community has been attempting to bring about peace in the province.

=======================
Kazi ngumu mno hii

mtu chake T14 Armata zitto junior
Nelson Jacob lushasi
 
Major General Nyaghah nimetoka kumsoma sasahivi kateuliwa kuwa mkuu wa Western Command (WESTCOM) ya Kenya. Sasa hapo sijajua kama aliandika hivi bila kujua kabla, ni bora angeacha asubiri kwenda kwenye appointment. Maofisa ngazi za juu wameteuliwa pale Kenya leo.

Lakini lazima alitaarifu serikali kabla ya kuchapisha taarifa hii hivyo naamini serikali imebariki. Congo kuna michezo Waafrika tunachezewa, unakumbuka yule UN Secretary General aliyekufa kwa aircrash akichunguza mgogoro wa Congo.

Sisi Waafrika sijui tuna akili gani. Wazungu wako pale kutoka kona zote za dunia ila jeshi lake halipambani na kundi lolote la waasi. Ukiwauliza UN kazi yao nini wanasema kulinda amani.

Na Wagner wametia timu kwa mbali hapo DRC, sidhani kama watasogea sana maana kuna players wakubwa. Wagner watabaki Sudan, Libya, Central African Republic uko ndio kama kwao sasa, na Mali ambako ni kama wamewatimua Wafaransa.

Miaka kama 30 ijayo Waafrika tutapigana sana, UAE na Turkey nazo zinakujakuja. China haijapenda kutumia nguvu.
 
Mandate ya UN inaruhusu kutumia nguvu kulinda raia ndio maana hapo Drc UN waliunda kikosi cha FIB (force intervention brigade) ili kipambane na waasi kwa kushirikiana na jeshi la Drc......ila sio rahisi kumaliza vikundi 120 kijeshi tu, suluhisho ni zaidi ya hilo.

Hapo Drc pana mengi mno chini ya meza yasiyojulikana nadhani utajiri wao wa rasilimali unachangia hili.
Congo kuna michezo Waafrika tunachezewa, unakumbuka yule UN Secretary General aliyekufa kwa aircrash akichunguza mgogoro w

Miaka kama 30 ijayo Waafrika tutapigana sana, UAE na Turkey nazo zinakujakuja. China haijapen
Hili bara bado limelala ndio maana kila mgeni anapigania alifaidi......labda vizazi vijavyo vitajitambua na kupigania hatma ya bara lao
 
Mandate ya UN inaruhusu kutumia nguvu kulinda raia ndio maana hapo Drc UN waliunda kikosi cha FIB (force intervention brigade) ili kipambane na waasi kwa kushirikiana na jeshi la Drc......ila sio rahisi kumaliza vikundi 120 kijeshi tu, suluhisho ni zaidi ya hilo.

Hapo Drc pana mengi mno chini ya meza yasiyojulikana nadhani utajiri wao wa rasilimali unachangia hili.

Hili bara bado limelala ndio maana kila mgeni anapigania alifaidi......labda vizazi vijavyo vitajitambua na kupigania hatma ya bara lao
Mandate ya UN iko limited ili vita isiishe na ukitaka kupigana dhidi ya waasi ndio hapo wanaanza mikakati kibao. Wana drones, wana surveillance na intelligence ila huwezi sikia wanatoa taarifa kwa FARDC.

Ikitokea nchi ikaenda kule yenyewe basi wananuna kwelikweli. Enzi za mwanzo Mugabe amerithi jeshi la Rhodesia lenye nguvu ndio alifanya linaloonekana pale Congo.
 
Hili jeshi la kikanda huenda likajaribu kutuliza hali kwa kiasi...ila commitment ya kumaliza mzozo kutoka kwa wanachama wa EAC ndio muhimu.
 
Enzi za mwanzo Mugabe amerithi jeshi la Rhodesia lenye nguvu ndio alifanya linaloonekana pale Congo.
Tunalaumu wazungu Bure tu, huyu Mugabe uliyemtaja alipokuja kumsaidia Kabila dhidi ya waasi. Alijichotea migodi huko Katanga na waliiba kweli kweli tani na tani za dhahabu. So nadhani wawe wazungu wawe waafrika wote ni wezi tu hapo DRC.
 
always nitamlaumu mwizi mzawa dhidi ya mwizi mgeni , badala ya kuzuia wageni wasiibe mzaw anaiga tabia ya wageni
 
Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment​

By Rédaction Africanews
with AFP
Last updated: 28/04/2023
Major General Jeff Nyagah -
Copyright © africanews
cleared

The Kenyan commander of the East African Community Regional Force deployed to halt the advance of an armed group in the eastern Democratic Republic of Congo has resigned.

In his resignation letter, Major General Jeff Nyagah said he was leaving because of concerns for his safety after consistent harassment by forces he described as ‘mercenaries’.

He also spoke about the impact of “well-orchestrated and financed negative media campaigns” against him personally, but also making “false accusations” about the regional forces alleged complacency in its handling of the M23 militia.

The group took up arms in 2021, conquering large swathes of territory in the DRC’s North Kivu province.
Kinshasa accuses neighbouring Rwanda of supporting the M23, a claim corroborated by United Nations experts and Western countries, although Kigali denies it.

There are thousands of soldiers – including from Kenya, Uganda, Burundi, and South Sudan - in the East African peacekeeping force.
They are tasked with trying to calm deadly tensions fuelled by armed groups in the region where the embattled population is impatient for effective peace.

The eastern DRC has been plagued by violence from multiple armed groups for nearly 30 years. The East African Community has been attempting to bring about peace in the province.

=======================
Kazi ngumu mno hii

mtu chake T14 Armata zitto junior
Nelson Jacob lushasi
Kamanda anakimbia vita akihofia usalama wake..

How dafty
 
Tunalaumu wazungu Bure tu, huyu Mugabe uliyemtaja alipokuja kumsaidia Kabila dhidi ya waasi. Alijichotea migodi huko Katanga na waliiba kweli kweli tani na tani za dhahabu. So nadhani wawe wazungu wawe waafrika wote ni wezi tu hapo DRC.
Mugabe alikuwa na vikwazo lukuki hivyo ilikuwa njia ya kupooza machungu na Kabila hakuwa na njia za kumlipa Mugabe na Angola zaidi ya kutumia rasilimali japo maafisa binafsi wa Zimbabwe na Angola ndio walijitajirisha na sio nchi zao.
 
Major General Nyaghah nimetoka kumsoma sasahivi kateuliwa kuwa mkuu wa Western Command (WESTCOM) ya Kenya. Sasa hapo sijajua kama aliandika hivi bila kujua kabla, ni bora angeacha asubiri kwenda kwenye appointment. Maofisa ngazi za juu wameteuliwa pale Kenya leo.

Lakini lazima alitaarifu serikali kabla ya kuchapisha taarifa hii hivyo naamini serikali imebariki. Congo kuna michezo Waafrika tunachezewa, unakumbuka yule UN Secretary General aliyekufa kwa aircrash akichunguza mgogoro wa Congo.

Sisi Waafrika sijui tuna akili gani. Wazungu wako pale kutoka kona zote za dunia ila jeshi lake halipambani na kundi lolote la waasi. Ukiwauliza UN kazi yao nini wanasema kulinda amani.

Na Wagner wametia timu kwa mbali hapo DRC, sidhani kama watasogea sana maana kuna players wakubwa. Wagner watabaki Sudan, Libya, Central African Republic uko ndio kama kwao sasa, na Mali ambako ni kama wamewatimua Wafaransa.

Miaka kama 30 ijayo Waafrika tutapigana sana, UAE na Turkey nazo zinakujakuja. China haijapenda kutumia nguvu.
Jana hiyohiyo Major General Alphaxard Muthuri Kiugu kateuliwa kuwa mkuu wa EACRF-DRC kujaza nafasi ya Major General Nyaghah
 
Tunalaumu wazungu Bure tu, huyu Mugabe uliyemtaja alipokuja kumsaidia Kabila dhidi ya waasi. Alijichotea migodi huko Katanga na waliiba kweli kweli tani na tani za dhahabu. So nadhani wawe wazungu wawe waafrika wote ni wezi tu hapo DRC.
Zimbabwe au Angola hawakufanya lend lease kwa DRC, war is expensive na walitumia miaka pale na Kabila senior hakuwa na hela ya kuwapa kuendesha vita. Mugabe kuna kipindi alitoa almost 30% ya jeshi lake na aliingia risky kubwa ambayo sidhani kuna nchi ya Afrika iliwahi ingia kwenye vita isiyo yake.
Aliiokoa Kinshasa na serikali isianguke, alituma Airforce ikapiga kazi kubwa nzuri sana, jeshi lake lilikaa miaka kadhaa likasogeza waasi mpaka misituni. Na ndio alianza bila kujali nani ataunga mkono, ukubwa wa Congo na situation yake inatisha sana. Uzuri Rhodesian war iliacha battle hardened troops na silaha za kutosha pale Zimbabwe, jeshi zuri sana lilikuwa.

Sasa DRC wangelipaje maana walikubaliana wachukue madini. Na hilo halihararishi wazungu kuwa walinzi wa wezi.
 
Kamanda anakimbia vita akihofia usalama wake..

How dafty
Ajira za upendelro na kujuana Vyeo vya kupeana kwa kujuana

Matokeo ndio hayo unakuta mtu.licheo kubwa kijeshi ukimpelreka vitani lioga kama kuku wa mdondo

Matokeo ndio hayo Mtuj jeshini apate kazi kihalali apite mafunzo kihalali na apande vyeo kihalali
Tatizo hilo ndilo limelight hata jeshi la Urusi hadi linakodi jeshi binafsi la Wagner liwasaidie
 
Congo pasikie tu, hivi vita na utitiri wa waasi ni mipango ya watu wengi wenye nguvu ndani na nje ya Africa.

Hasara ya kuwa na nchi kubwa isiyo na jeshi imara ndiyo hii. FARDC ina mamluki kibao na makamanda wengi ni wala raha tu.

Ukienda PKO omba Mungu umalize muda wako urudi bongo tu.
Miaka kadhaa Lt. General James Mwakibolwa aliwatwanga m23 vilivyo lakini ukatolewa waraka toka UN kuyataka majeshi yanayounda FIB( jwtz, sandf na malawi) yaondoe baadhi ya silaha uwanja wa vita ikiwemo mizinga na mifumo yoyote ya maroketi ( isipokuwa RPGs).

Its neither today nor tomorrow, this will stir to generations.

Sorry for women and children of Nord kivu ( North Kivu) 😭😭
 
Sasa DRC wangelipaje maana walikubaliana wachukue madini. Na hilo halihararishi wazungu kuwa walinzi wa wezi
Kwani Tanzania tumelipwa shingapi na Uganda, Msumbiji au Seychelles? Maana Marekani ikipigana huko Chad ila ikachota mafuta kupitia Exxon Mobil tunasema ni uporaji ila Kwa ngozi nyeusi tunasema wanafidia gharama zao!!
 
Back
Top Bottom