Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.

Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.

Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani.

0314B252-5A10-4924-9051-8799934CAAAE.jpeg

Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chini👇🏽👇🏽

C0765F7D-F97D-4EED-A8F2-8C49CE79B012.jpeg
Unazipa alama ngapi chini ya 10 sare mpya za jeshi la polisi Zambia?
40B9B794-AA1F-4B67-9238-AAF737161395.jpeg
 
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo.

Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi.

Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichaniView attachment 2572325
Na sasa askaro polisi wa nchi hiyo wanavaa sare kama zinavyoonekana hapo chini👇🏽👇🏽View attachment 2572326Unazipa alama ngapi chini ya 10 sare mpya za jeshi la polisi Zambia?View attachment 2572327
Tanzania wapewe vitenge au bazee
 
Mimi nazipa alama 8/10 kwanini 1.zipo huru
2.Kazi ya polisi ni purukushani ,suti sii mahali pake,hiyo waachiwe maofisa wasioenda kwenye purukushani
3.Hata mhuni anaweza kufikiri amekutana na mwanakwaya tena
mlokole
4.Kupiga hatua,kukimbia au kuficha vitendea kazi zinaruhusu.
5.wanaume na wanawake wakware watanasamo kirahisi hata wahuni wanaotafutwa na waliobadilisha sare😂
Hivyo wahuni wote mjiandae kunaswa kama kuku wa kitoweo 🏃
 
Back
Top Bottom