jeshi

  1. Jeshi la Polisi lapiga marufuku kuwasha fataki mechi ya fainali Yanga vs Usma uwanja wa Mkapa

    Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
  2. Bajaji za pale Uhasibu Kurasini ni hatari kwa maisha ya wavuka barabara, Polisi ilitazameni hili

    Habari za uzima wana JF, Kuna kero huwa naiona na nimewahi kunusurika kugongwa na zile bajaji pale Uhasibu Kurasini, madereva wake wana tabia wanakuja chuo cha Uhasibu kwa kutumia upande wa magari yanayoenda Mbagala, sasa mtu akiwa anavuka anaangalia upande wa magari yaendayo Mbagala then...
  3. Mji wa Belgorod, Urusi wapigwa mizinga na jeshi la Ukraine

    Ukraine waendelea na ujasiri wa kuanza kupiga ndani ya Urusi moja kwa moja...... Russia’s southern Belgorod region bordering Ukraine came under attack from Ukrainian artillery fire, mortar shells and drones Friday, authorities said, hours after two drones struck a Russian city in a region next...
  4. Sababu za ugonjwa wa Mkanda wa jeshi

    Mkanda wa jeshi (shingles) husababishwa na Virusi aina ya (Varicella zoster) vinavyoambukizwa kwa kuvuta pumzi, pamoja na matone ya upumuaji. Kirusi hiki kinasababisha magonjwa mawili ikiwemo tetekuwanga (chicken pox) wakati wa utoto, ambayo husababishwa na (Varicella). Ugonjwa mwingine ni...
  5. Kiongozi wa Wagner aponda jeshi la Urusi na kusifia la Ukraine, atahadharisha mapinduzi

    Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi ====================== 02:18 - Source: CNN CNN — A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in...
  6. Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  7. J

    Waziri Bashungwa: Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya vikosi vya jeshi

    SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na kuboresha miundombinu mbalimbali kwenye vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa...
  8. Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

    Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk. Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda...
  9. M

    SoC03 Matumizi ya nguvu kupita kiasi katika ukamataji wa jeshi la polisi unavyodidimiza kaya masikini

    Nice try
  10. Mbeya: Musa Pwele ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za Kumbaka mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu. Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma...
  11. SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  12. UN: Viongozi wa Jeshi wanaopigana Sudan hawana nia ya kumaliza tofauti zao

    Umoja wa Ulaya (UN) imetoa angalizo hilo baada ya kuzungumza na pande mbili zinazopigana katika vita ya kuwania madaraka ambayo imeanza Aprili 15, 2023. Martin Griffiths, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa UN amedai kuwa mwendelezo wa mapigano umefika hatua mbaya na kutoa wito wa kuruhusu misaada ya...
  13. Morogoro: Polisi wawatawanya wananchi waliotaka kuchota mafuta baada ya ajali ya lori

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, limefanikiwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuchota mafuta, baada ya lori lenye namba za usajili T 810 AJL lililobeba mafuta aina ya dizeli kuacha njia na kuingia mtaroni kisha mafuta hayo kuanza kumwagika, katika eneo la Msimba lililopo wilayani Kilosa...
  14. Muundo wa Jeshi la Uhifadhi Unafanya Kazi Vizuri

    MHE. MARY MASANJA - MUUNDO WA JESHI LA UHIFADHI UNAFANYA KAZI VIZURI Serikali imesema Taasisi za Uhifadhi nchini zimeendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kufuatia muundo wa sasa wa Jeshi la Uhifadhi kuziwezesha Taasisi hizo kufanya kazi zake vizuri huku kila Taasisi ikiwa inasimamiwa na...
  15. Ushauri: Serikali ianzishe kikosi cha Jeshi la Polisi Mazingira

    Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
  16. Siri za Jeshi: Miguu yenye uvungu

    Wakuu hamjambo? Je mnajua kuwa huwezi kuwa mwanajeshi kama una miguu flat? Ni lazima miguu yako iwe na uvungu ili uwe mwanajeshi. Naomba kujua siri ya hii kitu, pia ningependa kujua ni jeshi letu tu au ni majeshi yote duniani?
  17. SoC03 Namna Teknolojia inavyoweza kuzuia Rushwa na kuongeza weledi kwa Jeshi la Polisi na Uhamiaji

    UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
  18. Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

    Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo. Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo, maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama...
  19. Jeshi Sudan laelekea kushinda vita

    Upepo wa mapambano kati ya majenerali wawili nchini Sudan unaonekana kubadilika ghafla dhidi ya Hemedti. Jeshi linaloongozwa na generali Burhani limesema kwa sasa wananchi wate waliobaki mjini Khartoum wabaki ndani na wasichungulie madirishani kwani wameanza kutumia vifaru kushambulia kutoka...
  20. Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment

    Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment By Rédaction Africanews with AFP Last updated: 28/04/2023 Major General Jeff Nyagah - Copyright © africanews cleared The Kenyan commander of the East African Community Regional Force deployed to halt the advance of an...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…