jeshi

  1. JamiiForums Tanzania Swali la ufahamu: Hivi CCM hutoa taarifa ya mikutano ya hadhara au/na maandamano yao kwa Jeshi la Polisi?

    Waungwana wa JF, husikeni na mada ya hapo juu. Nikiri wazi kuwa katika kufuatilia kwangu siasa za Tanzania kupitia redio, magazeti, runinga na mitandao ya kijamii, sijawahi kuona au kusikia kuhusu barua iliyowasilishwa na CCM kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) waweze kuendesha maandamano ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hadi sasa mahandaki 130 yamefumuliwa na jeshi la Israel

    Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko humo.................. Kwa hiki kipigo aise HAMAS wanafutika kweli....... The Israel Defense Forces on Wednesday...
  3. JamiiForums Tanzania HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

    Wanaukumbi. ----- 136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions: We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation. Our Mujahideen destroy vehicles and...
  4. JamiiForums Tanzania Usaili wa nafasi Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam unashangaza

    Usaili wa nafasi za kazi jeshi la polisi umeanza October 31,2032. Mikoa yote nchi nzima. Baadhi ya mikoa wamemaliza usaili kwa ngazi zote, lakini mkoa wa Dar es Salaam bado. Usaili ufanyika ngazi ya wilaya na mwisho ni mkoa, ambapo kikawaida mitihani ya mchujo ufanyika katika ngazi ya wilaya na...
  5. JamiiForums Tanzania Meja wa Jeshi la Ukraine afariki kwa kuripukiwa na Bomu alilopewa kama zawadi ya 'Birthday' yake

    A Ukrainian major has died after he was accidentally blown up by a grenade given to him as a birthday present.⁠ ⁠ Hennady Chastyakov was killed as he showed the gift to his teenage son at home on Monday, officials said.⁠ ⁠ It was initially thought that the 39-year-old had been killed by a...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watu wanaodhaniwa Askari wa Polisi na Maafisa Msitu wawapiga Wananchi, kuchoma moto makazi na mazao Wilaya ya Chemba na Ikungi

    Habari za mchana wana JF. Hali ya sintofahamu imeendelea kwa siku mbili sasa katika kijiji cha Handa kilichopo katika Wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma karibu na mpaka na Wilaya ya Ikungi ambayo ipo katika Mkoa wa Singida. Ni karibu pia na Mpaka na Wilaya ya Hanang katika mkoa wa Manyara. Hali...
  7. JamiiForums Tanzania Askari polisi Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku waliomuua Luteni Generali Imran Kombe tar 30.6.1996 Bado ni watumishi wa Jeshi la Polisi?

    Kwa upendo na unyenyekevu Ninaomba mwenye taarifa sahihi kuhusu utumishi wa Askari hawa aziweke hapa Jf. Askari hawa walihusika kumuua aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu.
  8. JamiiForums Tanzania Aliyewaambia Jeshi la Polisi askari kunyoa ndevu ni ishara ya utii ni nani?

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaambulia chuya tu! Ukiwaona askari polisi wanaolipwa mishahara huwezi kuwatofautisha na wafungwa wa pale kwetu Gereza la Luanda Mbeya,au kule Moshi kwa Shangazi yangu Gereza la Karanga,Au kule Kwa watani zangu Mwanza Gereza la Butimba au...
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza fanyeni ukaguzi wa magari ya shule ili mabovu muyaondoe barabarani

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na magari specific kwa ajili ya kubeba wanafunzi jijini Mwanza yakiwa mabovu haswaaa. Saa nyingine nakuwa najiuliza hivi Trafic barabarani hawayaoni?'. Unakuta gari hata indicator hazifanyi kazi ila lipo barabarani. Kuna siku gari ya wanafunzi ilikuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona Jeshi Bora kwa sasa Afrika nzima kama letu la JWTZ, pongezi nyingi mno Kwao

    Nimebahatika Kukutana mahala na Wakufunzi Watatu wa Angola, Rwanda na Misri pamoja Wanajeshi wa Afrika Kusini na kwa Mshangao mkubwa wakaniambia MINOCYCLINE kuwa bado kwa sasa hawajaona Jeshi lolote la nchi za Bara la Afrika ( zikiwemo zao Wanazotoka ) lenye Ubavu wa Kupambana na Jeshi la...
  11. JamiiForums Tanzania Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

    GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa...
  12. JamiiForums Tanzania Nalipongeza Jeshi la wananchi Tanzania (Kawe) kuwakomesha raia wa ovyo Kawe

    Sijawahi kuona bodaboda au vijana wa hovyo kama hao vijana wa Kawe aisee ni wajinga na wakora kupitiliza aisee kwanza ni wezi, makuwadi, wauza bangi na aina ya vitu vya hovyo kupitiliza. Siwezi kusahau siku walionipora milioni mbili kwenye begi langu na mmoja ya watu waliohusika kunifanyia huo...
  13. JamiiForums Tanzania Pentagon kuja na Bomu la Nyukilia lenye nguvu mara 24 zaidi ya lile la Hiroshima, Japan

    Idara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuja na bomu jipya la nyuklia, B61-13, ambalo litakuwa na nguvu mara 24 zaidi ya lile lililoangushwa huko Hiroshima wakati wa Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1945. Bomu hilo jipya la nguvu ya nyuklia la B61-13 lililopendekezwa na Marekani litabebwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

    GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana. Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Wachukulie hatua wanajeshi wanaofanyafanya vurugu mitaani-Hii ni aibu isiyokubalika hata kidogo!

    Salaamu kwako Mheshimiwa Rais Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa Taifa letu ni njema sana, kwa kweli imekuwa msingi na nguzo kuu ya amani na utulivu wa wa Taifa letu...
  16. JamiiForums Tanzania Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

    Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea. Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria. Matukio ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ni ugaidi Jeshi kupiga Wananchi wasio na hatia kisa wanaonesha hasira za mwenzao/wenzao kudhuriwa na mtu/kikundi fulani

    NI UGAIDI JESHI KUPIGA WANANCHI WASIO NA HATIA KISA WANAONYESHA HASIRA ZA MWENZAO/WENZAO KUDHURIWA NA MTU/KIKUNDI FULANI. Anàandika, Robert Heriel Kamanda wa Tibeli. Kuna ile tabia ambayo sasa nadhani imezoeleka ya kulichafua jeshi letu au baadhi ya wanajeshi wasiowaadilifu kuchafua kazi ya...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Kyiv nako si shwari, Askari wa Jeshi la Urusi watishiwa usalama wao

    Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel limeanza kuingia Gaza

    Kulingana na radio ya Israel vikosi vya IDF vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya Gaza usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo taarifa zaidi za mashambulio hayo dhidi ya Hamas hayajwekwa wazi. Habari hizo zinafuatia ahadi ya hapo jana ya waziri mkuu wa nchi hiyo aliposema mashambulio ya kuingia Gaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…