jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani kwanini jana Mamelodi Sundowns FC katika Mechi yao ya Ligi Kuu wamechezesha Wacheaji Chaguo la Pili tu?

    Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0. Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na...
  2. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Tuwekane sawa jana Simba hawakucheza mpira bali waliruhusiwa kucheza mpira.

    Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba alicheza sana mpira. Kwenye mpira kucheza/kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wako kunaweza kutokea...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Totally Henock Inonga jana alikuwa Out of Form nani ananibishia hili?

    Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa. Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Si sawa Kurudia nguo bila kufua, hasa wakazi wa Maeneo yenye Joto

    Na hasa nguo za ndani mfano chupi, bra, boxer, vests. Wanao kuwa jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima, isiyostahimilika kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, huku ukiwa umechomekea mwenyewe. 🐒 Kumbuka mwili una hema, na vilevile mwili unapumua. Dah...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

    Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Jana mngeniona kwenye vyombo vya habari nikisambaa kama moto nyikani. Alitaka nitafutia kesi

    Nimetoka zangu home nikaona niende kijiwe samli kufanya service ya gari. Ijumaa mabruki ilikuwa kwangu tawile tu sina makuu ni siku ambayo mara nyingi nala biryani pale Kariakoo, Lumumba Maghorofani. Jana haikuwa hivyo. Nikaona isiwepo tashdidi. Nikiwa na kanzu yangu nikannunua vimiminika...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mudathiri Yahya uliokuwa ukiwapigia simu siku zote walitaka waonane na wewe ana kwa ana, nadhani umewaona jana?

    Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

    Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Azam jana walitukamia, huo si uchezaji wao wanapokutana nasi

    Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas. Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi...
  10. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kuna mmama alikuwa ananiangalia sana hadi nikajishtukia, nilipomchunguza vizuri nikagundua ni class mate wangu

    Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa. Sasa kuna rafiki...
  11. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikufanya uchaguzi wa viongozi mwaka 2023?

    Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika? Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Azam mmenikera sana jana kwenye mechi ya Simba vs Singida Fountain

    Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam. Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini sijaonekana kwenye picha za Iftar ya Ikulu siku ya Jana. Nimechukia sana

    Kwema Wakuu! Sisi wengine ni Watu wa misifa, Watu wa mitandaoni, Watu wa kujionyesha, Watu wa kujimwambafai tukio kama la jana kwangu lingeniongezea Credit muhimu sana. Kutokuonekana inamaamisha sikuwepo ama? Kutokuonekana kwenye picha yoyote au video yoyote ya tukio inamaanisha sikuhudhuria...
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Nilimchangia Nauli jana ameishia kuibetia, ulevi wa kamari ni hatari sana

    Huyu mwanamke ana akili za hovyo, bado ananiomba tena nimchangie abeti wakati shida yake kubwa ni nauli.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

    Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti. Nimemaliza.
  16. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Swali kwa Kinana, Je haki na uhuru wa uchaguzi huamriwa na Rais?

    Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo. Sikushangaa pale...
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Usiku wa jana mida ya saa moja kuelekea saa mbili niliona ndege 12 zikiwa zinaenda taratibu sana kwa mwendo wa Pole zikipita kwenye anga la nyumbani kwangu Bahari Beach. Mara ya kwanza nilidhania ni vimondo, ila nikasema hapana, nikadhania sasa haya ndio mambo ya UFO yenyewe, lakini baadaye...
  18. Brightly

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Habarii ndugu zangu Wana jf,Ni muda Sasa nimekuwa nikifanya sex under performance yaanii chini ya dakika mbili tayarii nakuwa nimeishamaliza na hunichukua Hadi dakika 15 au zaidi kurudia round ya pili ambayo huwa ya mwisho na yenyewe pia huaga naenda haizidii dakika labda mara moja moja huwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

    1. Hamuwezi mechi za kimataifa 2. Medali ya kombe la looser 3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana 4. Sio Shirikisho huku. NB Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM Tabora Hassan Wakasuvi afariki dunia akiwa ofisini

    Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan Wakasuvi kilichotokea Leo tarehe 22 Februari, 2024 Mkoani Tabora. Chama Cha Mapinduzi kitamkumbuka...
Back
Top Bottom