Azam jana walitukamia, huo si uchezaji wao wanapokutana nasi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.

Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.

Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua?
 
Ila, mashabiki wa simba kweli ni mbumbumbu....hata hesabu mnashindwa kupiga?

Wakati mnashangilia yanga kufungwa, rudini mezani kuangalia mechi zenu zilizobaki na za wenzenu yanga na azam.

Kama hamjua yanga wanawaumiza nyie simba. Maana mmebakiwa na mechi zote ngumu.

Simba mkijichanganya mpoteze na yanga halafu mje mpoteze na azam mjue mnamaliza nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi.
 
Azam hawakua tofauti na siku zote, tena jana kulinganisha na mechi za karibuni hawakua na takwimu nzuri katika mashambulizi ukilinganisha na Yanga.

Azam jana babati ilikua upande wao.
Maana ata ukisema waliamua kupaki basi, lakini Yanga waliweza kumfikia kipa katika attempt zao, ima maana diffence ilikuwepo lakini Yanga mara nyingi walimfikia kipa ila mpira haukuingia.

Azam wao walifanya mashambulizi machache ambayo yaliweza kumfikia diara kwa kufunga au diara kucheza.

Yanga walikua na uchovu mwingi ila bado kwa namna walivyo cheza hawakustahili kupoteza ila jana ilikua siku mbaya kazini.
 
Kwamba Yanga kamwachia Azam amfunge?hizi akili zinapatikana Utopolo tu!
 
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.

Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.

Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua?
Usitafute sababu sema majini yenu yalikuwa likizo. cc F. Mayelle.
 
Acha kelele ww utopolo katoe mwiko nyuma kwanza jana fei alimaliziaaa k8babe sana feiii toto ulipigaje pale ...by miso misondo
 
Azam hawakua tofauti na siku zote, tena jana kulinganisha na mechi za karibuni hawakua na takwimu nzuri katika mashambulizi ukilinganisha na Yanga.

Azam jana babati ilikua upande wao.
Maana ata ukisema waliamua kupaki basi, lakini Yanga waliweza kumfikia kipa katika attempt zao, ima maana diffence ilikuwepo lakini Yanga mara nyingi walimfikia kipa ila mpira haukuingia.

Azam wao walifanya mashambulizi machache ambayo yaliweza kumfikia diara kwa kufunga au diara kucheza.

Yanga walikua na uchovu mwingi ila bado kwa namna walivyo cheza hawakustahili kupoteza ila jana ilikua siku mbaya kazini.
Eti babati ilikua upande wao... 😂
Bandiko refuuuu ila mmepigwaa....
 
walivyo cheza hawakustahili kupoteza ila jana ilikua siku mbaya kazini
Kuna 🐸🐸hapa wanadai kuwa waliwaachia tu Lamba Lamba walambe 🐸.

Unaposema 🐸🐸kupoteza mechi ya jana ilikuwa ajali kazini huoni kwamba unapingana na 🐸🐸wenzio?
 
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.

Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.

Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua?
Kwahiyo mkaenda kwenye mechi mmelegeza matako? Kwanini hamkukamia mshinde?
Acha mpigwe Azam wanakaza nyie mnalegeza mnafikiri hautaingia?
 
Ila, mashabiki wa simba kweli ni mbumbumbu....hata hesabu mnashindwa kupiga?

Wakati mnashangilia yanga kufungwa, rudini mezani kuangalia mechi zenu zilizobaki na za wenzenu yanga na azam.

Kama hamjua yanga wanawaumiza nyie simba. Maana mmebakiwa na mechi zote ngumu.

Simba mkijichanganya mpoteze na yanga halafu mje mpoteze na azam mjue mnamaliza nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi.
Kwahiyo akili yako inakuambia kabisa simba atapoteza game zote mbili ya azam na uto? huyu feitoto kaleta balaa nchini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom