jamiiforums

About Jamii Forums
logox.png

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse session ya JamiiForums Mei 26, 2022: Elimu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto

    Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania? Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni Kushiriki...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Neema Lugangira: Sheria ya Ulinzi wa Data iharakishwe

    Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Amesema, "Natambua zipo Asasi za Kiraia ambazo zimeshaanza Mchakato huu, mfano ni Jamii Forums na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa 'JamiiForums' kwanini ukipiga 'Miayo' na aliyekaribu nawe atake asitake nae 'Sayansi' itamlazimisha tu apige?

    Nimeambiwa jibu lake ni la Kisayansi zaidi na Binafsi nilidhani ni Masihara ila muda si mrefu nimetoka Kupiga Miayo na Bwege Moja nalo lililokuwa Jirani yangu kutokana na Njaa na Hasira za Upuuzi alioufanya Kipa wa Dodoma Jiji FC Jana ( Mshabiki wa Yanga SC na Mayele ) likapiga halafu kuna...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Sitakuja kusahau nilivyozama kwenye penzi zito na binti tuliyejuana kupitia JamiiForums mwaka 2013

    Haya ni maboresho ya uzi niliowahi kuuandika ila niliuandika nikiwa sijatulia na maneno mengi nilikosea kutype, uzi huu nimesahisha maneno na niomeongezea vya ziada. Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuo cha uhasibu Arusha (IAA – Institute of accountancy...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali yule JamiiForums Member maarufu aliyesema mapema kwa Kujiamini kuwa Simba SC anatolewa leo na akatukanwa sana aombwe Radhi upesi

    ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KIGWANGALLA: Wawekezaji wa Vitalu wanahonga sana pesa, wapo tayari KUUA wapate wanachotaka, ukikataa wanakutegea mtego wa Rushwa

    Mwanasiasa Dkt Hamis Kigwangalla amezunguzia Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo amewahi kuiongoza akisema kuwa ukiwa Waziri wa hapo utahongwa sana hasa kutoka kwa wawekezaji wa vitalu. “Wawekezaji hasa wa vitalu wanapenda kuwa na maeneo makubwa, wale wa picha siyo sana, watu wa vitalu...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

    Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni. Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

    Kinasema... 'Wamerudi Aiseeee" Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia. Karibuni.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni Radio One, Watangazaji Bora Afrika Farhia Middle na Abubakary Sadick kwa Kuniheshimisha na Kuuheshimisha Mtandao wa JamiiForums leo

    Kwanza nianze kwa kutoa Pongezi zangu Kwenu Radio One ( hasa hasa ) Watangazaji wangu Bora kwa Afrika na Kipindi changu pendwa cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamli za Asubuhi kwa Kukubali Ubalozi wangu wa Kujiteua na Kulazimisha wa hicho Kipindi...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Denmark nchini Tanzania atembelea JamiiForums

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Balozi Mette Norgaard Spandet jana 23/03/2022, alifika kwenye ofisi za JF Jjijini Dar es Salaam na kukutana na viongozi na wafanyakazi kwa lengo la kujionea namna mtandao huo unavyofanya kazi. Ambako alikutana pia na Mkurugenzi wa JamiiForums na kubadilishana naye...
  11. Frustration

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums mwenzangu, msamehe mke wako japo ni kweli alichepuka kwa mume wa shosti yake

    Habari viongozi, na watu wote. Naomba kwanza ku-declare my side ni kwamba siwezi kumwacha mke wangu niliezaana nae hata mtoto mmoja tu kisa amechepuka. Kuna ndugu yetu humu ndani amemfukuza jana mke wake huko Dar baada ya mke wa mume aliyechepuka na mke wake kuja na kundi la watu wakiwa na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Clubhouse session ya Jamiiforums 15/02/2022: Safari ya matibabu kwa Mtoto mwenye Saratani

    Jamii Forums kwa kushirikiana na MUHAS, MNH, TLM wameandaa Mjadala utakaofanyika kupitia Clubhouse ya JamiiForums ili kuongeza uelewa juu ya Saratani kwa Watoto Nchini Tanzania. Kujua zaidi soma: Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto? Mjadala huu unatarajiwa kufanyika leo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Pongezi na Shukrani za dhati kwa Wana Jamiiforums Hawa kwa kazi iliyotukuka

    Nyendo The Sheriff Replica Suley2019 Erythrocyte Katika kesi muhimu inayoendelea ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na wenzake. Wenzetu Hawa wamekuwa mstari wa mbele kuujulisha UMMA kinachoendelea. Watanzania wengi na viongozi akiwemo Mheshimiwa...
  14. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana wana Jamiiforums, mipango ilianzia hapa na hoja na mawazo niliyapatia hapa hakika tunaishi kwa upendo sana!

    Kwanza kabisa naomba nitoe shukrani na samahani nyingi kwa kuchelewa kutoa shukrani kwa msaada mlionipatia hapa na nimerudi hapa pia hakika hapa ni shule na nisehemu ya kujifunza na kuelimika zaidi ya hapo ni mahala ambapo hutakiwi kuishi kiubinafsi mtu anapoleta hija au maoni tusiishie kumcheka...
  15. Informer

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Donald Wright leo Februari 4, 2022 ametembelea Ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Wright na timu yake wamepata kuelezwa namna Jamii Forums ambayo ni Asasi ya Kiraia inavyoendesha shughuli zake katika...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana. Kutambuliwa huku kwa JF na Jumuiya za Kimataifa kunakuja kutokana na UHURU MKUBWA WA KUTOA MAONI NA JUHUDI ZA MAKUSUDI ZA KULINDA FARAGHA ZA WATEJA WAKE. Mungu ibariki JF...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yule mkongwe aliyeteka JF kuhusu Forex sasa kaingia kwenye Cryptocurrency, tusubiri vilio

    kiwa na bahati ya kuhandika na maandiko yako yakawakamata vizuri watu basi utawachota kweli kweli. Huyu bwana hapa JF aliwakamata watu sana kipindi cha Forex na mpaka wengine hata umweleweshe vipi kukubali kuwa alikuwa akili yake aina 50 zake ilikuwa ngumu. Hapa JF watu wameweza kueleza Forex...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

    simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria. Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Rais wa Mashabiki 'lia lia' wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana hapa JamiiForums naomba kuwajua Wenzangu tafadhali

    Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi? 1. Champion Kapangala ( Sebene ) 2. Omba ( Rhumba ) 3. Wallah Danico ( Sebene ) 4. Sans te Toucher ( Rhumba ) Kama una 'updates' zozote...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mjadala wa "Je, Demokrasia inakwamisha Maendeleo?" katika Clubhouse Jamiiforums

    Demokrasia imekuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika Mataifa mbalimbali. Tanzania ni Nchi ya Kidemokrasia kwa mujibu wa Katiba ambayo Viongozi huapa kuilinda wanapoingia madarakani Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu ukiituhumu Demokrasia kukwamisha Maendeleo huku wengine wakidai kuwa ili...
Back
Top Bottom