Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,811
4,533
Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni.

Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma: Draw Procedure: 2021-22 TotalEnergies CAF Confederation Cup Knockout Stage

1649164943514.png

Unafikiri Simba atakutana na timu gani?

===

UPDATES
ROBO FAINALI - CAFCC: SIMBA KUIVAA ORLANDO PIRATES

Droo ya Robo Fainali ya Michuano ya Shirikisho Barani Afrika imechezeshwa leo ambapo Klabu ya Simba kutoka Tanzania itavaana na Klabu ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini

Simba ilimaliza ya pili katika Kundi D ikiwa na alama 10 sawa na kinara wa Kundi hilo, RSB Berkane. Orlando Pirates ilikuwa kinara wa kundi B ikiwa na alama 13
 
Azam one wapo live
Simba amemkaribia mazembe, au Orlando p
Let's wait and see dk 5 zimebaki kujua
SIMBA SPORTS CLUB VS
TRH 15-17 APRIL 22
 
Back
Top Bottom