Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

Je wewe ni Simba au Yanga?


  • Total voters
    81

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,798
1642916161292.png



simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi.

1642916666113.png

Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria.
Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
 
Mrs Mbeya City, demu wa Mtibwa hana maajabu
Tulia wewe,,, Yanga mfanyakazi wa ndani ( House Girl), yeye anajikongoja kurekebisha mapishi ya ndan ndo maana baada ya muda mrefu kutoliona kombe la ligi Sasa mnajipa moyo,,

Mnataman kombe la ligi NBC nakati Mnyama anaweka mikakati ya kimataifa tu,, kuhakikisha anafika level nyingine ya ubingwa Africa!!
Sasa hapo tutalingana??

Usimfananishe Mnyama kwa nguvu ya soda aliyonayo Yanga,, Simba SC is in another level ndg,, kila Mwaka tunawabeba Timu za Tanzania angalau zionje utamu wa champions league na confederation but always mnatuaibisha!!

Yanga muwe na adabu mkiona misharubu ya Simba imesimama ,, Sisi ni Baba zenu,, tunawabeba sana ila hambebeki kimataifa enyi utopolo!!


# Mleta mada tuombe msamaha sisi wana Simba kwa kuifananisha Simba na huo uchafu Utopolo
 
Hapa JF na socio media zote wamejaa Simba. Lkn nadhani overall bado Yanga wamezidi kidogo huko mitaani. Mahidhulio ya mechi za Yanga mikoani ni makubwa sana. Sema Vijana wadogo ndo wanakuja kuongeza fanbase ya Simba hapo baadae
View attachment 2092368


simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi.

View attachment 2092379
Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria.
Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
 
Back
Top Bottom