Asanteni Radio One, Watangazaji Bora Afrika Farhia Middle na Abubakary Sadick kwa Kuniheshimisha na Kuuheshimisha Mtandao wa JamiiForums leo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Kwanza nianze kwa kutoa Pongezi zangu Kwenu Radio One ( hasa hasa ) Watangazaji wangu Bora kwa Afrika na Kipindi changu pendwa cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamli za Asubuhi kwa Kukubali Ubalozi wangu wa Kujiteua na Kulazimisha wa hicho Kipindi.

Pili niseme Asante kwenu Watangazaji wangu bora na Wapendwa wa Radio One na ITV na wana Simba SC wa 'Kutukuka' Wenzangu Farhia Middle na Abubakary Sadick kwa 'Kuniheshimisha' leo GENTAMYCINE mwisho wa Kipindi kwa Kunitaja na kunipa 'Dedication' ya Wimbo mzuri ambao ama hakika Umesindikiza vyema kabisa Siku yangu ya Kuzaliwa ( Birthday yangu ) ambayo ni leo tarehe 27 Machi.

Tatu niseme Asante mno kwenu Radio One na Watangazaji wangu Wapendwa na Bora Afrika Farhia Middle na Abubakary Sadick kwa Kuuheshimisha huu Mtandao wa JamiiForums hewani pale kila mlipokuwa mkinitaja GENTAMYCINE mkionyesha kuwa kumbe hata nyie huwa tunatiririka na kuserereka Wote hapa 24/7 tu.

Kama Balozi wa Kujiteua na Kulazimisha wa Kipindi kizuri cha Mazungumzo ya Familia kinachorushwa na Radio One kila Jumapili Saa 1 na dakika 30 Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi kikiwa chini ya Watangazaji wangu Bora Afrika Farhia Middle na Abubakary Sadick nawashauri wana JamiiForums Wote muwe mnatenga muda Wenu huo Kukisikiliza kwani Kipindi hicho ni Darasa tosha kwa walio ndani ya Ndoa, Mahusiano ya Malengo na hata Sisi wengine ambao tupo tupo Kuoa / Kuolewa hatutaki na tunabaki Kupuyanga puyanga tu.

Ukiona mpaka GENTAMYCINE nakipenda na nakisikiliza Kipindi fulani cha Redio basi jua ya kwamba kwa 100% kipo vizuri kina Elimisha, kina burudisha na kina Fundisha pia kwa kutoa Elimu mbalimbali juu ya Masuala mazima ya Mahusiano.

Mwisho Kwako Dada yangu Mpendwa Farhia Middle mwishoni umesema kuwa japo Unanikubali ila kuna muda huwa 'nawachenjia' na Kuwasema hivyo basi nami nakuambia hapa hapa JamiiForums kuwa hakuna Mtangazaji ninayempenda na sitaki aharibikiwe kama Wewe.

Nakupenda kuliko hata ujuavyo hivyo ukiona nakusema furahi kwani huwa nataka Unyooke na usiwe wa hovyo hovyo kama walivyo Watangazaji Wenzako wengi wa Kike katika Media zetu hapa Tanzania.

Kipindi chenu Nakipenda hamna mfano.
 
Umezaliwa cku aliyofariki mwanangu leo Niko nyumbani naangalia picha zake video alifariki 9:30 mchana nasubiria muda ufike nibusu pichazake nimwombee kwamungu
Pole sana Mkuu, naungana nawe katika Majonzi hayo ila Kikubwa nakuomba tunshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa yote na tumuombee Mpendwa Wetu huyo Makazi mema huko aliko.

Nimejisikia na Huzuni ghafla Mkuu na Kujisikia vibaya kuwa labda Ule Uzi wangu wa ( Happy Birthday yangu ) umekupa Majonzi na Kukuumiza pia. Naomba Radhi Mkuu.
 
Popoma kama popoma akijipakulia minyama

Matusi hayanitishi njoo uniue nipo kawe club laroca

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini Mkuu kuna Mademu ( Malaya ) wapya Wawili hapo Club La Roca Kawe wana Virusi vya Gitaa la Solo la Dally Kimoko.

Wametokea Tabata na mara nyingi huja hapo Kipindi hiki Wajeda ama wamepokea Mishahara yao tarehe 22 ya kila Mwezi au Resheni yao ya kila tarehe 30 ya Mwezi.

Mida hii ya Mchana hupenda sana Kujificha katika Saluni Moja nyuma ya ilipo hiyo ATM ya NMB. Sifa yao nyingine ni Uwizi na Kukulengesha kwa Masela ili wapite nawe kwa Mpalange.

Kama ukiwagonga nakuomba vaa Ndomu.
 
Kuwa makini Mkuu kuna Mademu ( Malaya ) wapya Wawili hapo Club La Roca Kawe wana Virusi vya Gitaa la Solo la Dally Kimoko.

Wametokea Tabata na mara nyingi huja hapo Kipindi hiki Wajeda ama wamepokea Mishahara yao tarehe 22 ya kila Mwezi au Resheni yao ya kila tarehe 30 ya Mwezi.

Mida hii ya Mchana hupenda sana Kujificha katika Saluni Moja nyuma ya ilipo hiyo ATM ya NMB. Sifa yao nyingine ni Uwizi na Kukulengesha kwa Masela ili wapite nawe kwa Mpalange.

Kama ukiwagonga nakuomba vaa Ndomu.
Hahahaaaa
 
Back
Top Bottom