jamii

  1. JamiiForums Tanzania Uuzaji pombe hovyo sasa ni hatari kwa jamii. Vibanda vingi mtaani/stendi kila sehemu wanauza pombe

    Kwa hali iliyofikia huku mtaani sasa serikali inatakiwa kuingilia kati. Kwani sasa vibanda vingi mtaani/stendi kila sehemu wanauza pombe hasa hizo kali, jamii ya konyagi, kwa sasa utakuta kibanda kinauza machungwa, pipi, soda, unga, mkaa hapo hapo wanauza pombe kali Kwani mamlaka husika hasa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya ya Taifa (NIHF) ni wauaji wakubwa wa jamii ya Tanzania

    1. Dawa muhimu kwa wazee wameziondoa eti ni bei ghali 2. Wazee wanalipa hela kubwa wakati wakijua fika kuw wazee wamestaafu, hawana nguvu za kufanya kazi etc. Mfano mdogo ni huu: Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Duniani kote huwa vigumu wanaharakati kushika dola sababu huwa hawawezi kufanya kazi na kuiva na makundi yote katika jamii ikiwemo Tanzania

    Ukiwa mfuatiliaji wa wanadiasa washika dola duniani kote ni vigumu mno kwa wanaharakati kushika dola sababu huwa hawana uwezo kabisa wa ku mobilize makundi yote katika jamii yswapende na yawaunge mkono kuwapa dola Makundi hayo Ni Kama viongozi wa kiserikali, mahakama,taasisi za kidini,vyombo...
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

    Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume. Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
  5. JamiiForums Tanzania Singida: Mkoa mdogo wenye umaarufu unasababishwa na jamii ya Watu wake

    Leo nataka kuufahamu vizuri huu mkoa uliopo katikati ya nchi, huu mkoa unatajwa sana kutokana na uwepo wa watu wake wanaohusishwa na matukio mbali mbali ya kitaifa. Karibu kila tukio kubwa la kitaifa huwezi kukosa watu wawili au mmoja kuhusika. Hili kabila la Wanyaturu sijajua ni jamii ya watu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

    Ndugu zangu, ''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya, elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo...
  7. JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

    Ukweli wanaJamiiForums kwa gwiji wetu Pascal Mayalla tumeonyesha chuki ya wazi ikiwemo mimi, namuomba radhi. Ingawa Pascal ni CCM ila alikuwa hana ule u CCM kama makada wengine. Pasco ni mhanga wa mambo mengi yaliyotokea kwenye utawala huu ikiwemo kusitishiwa tenda zake muhimu zilizokuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

    MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye biashara ya vitenge niwe nachukua mzigo Kariakoo naenda kuuza mikoani

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavojieleza. Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie challenges za hii biashara.
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani 2020: ACT-Wazalendo kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa

    Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa. Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi iliyopo pamoja na ukosefu wa ajira kunazidi kushika kasi duniani na Tanzania ikiwemo. Hii inaamsha ari ya kufikiri njia mpya za...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani 2020: ACT-Wazalendo kujenga utajiri wa jamii kupitia ushirika wa kisasa (Community Wealth Building)

    Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa (Community Wealth Building). Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi iliyopo pamoja na ukosefu wa ajira kunazidi kushika kasi duniani na Tanzania ikiwemo. Hii inaamsha...
  12. JamiiForums Tanzania UN: Kama maambukizi ya COVID-19 ndani ya jamii yamedhibitiwa, fungueni shule

    Janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID- 19 likiendelea kuripotiwa maeneo mbalimbali duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa tamko lake la kisera lenye lengo la kuhakikisha kuwa janga hilo halizidishi pengo lililokuwa la walio na elimu na wasio na elimu. Tamko...
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

    Amani iwe nanyi wadau! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa CHADEMA. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha...
  14. JamiiForums Tanzania Simbachawene aitaka Polisi kukaa mguu sawa Uchaguzi Mkuu, aipongeza Rufiji kusambaratisha Wahalifu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote zitakazo jitokeza au uvunjifu wa sheria katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Simbachawene ameongeza kuwa, Polisi muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
  15. JamiiForums Tanzania Wajumbe tumetambua umuhimu wenu kuanzia sasa mtapewa special treat

    Wajumbe tutawapisha viti kwenye dala dala na mwendo kasi. Tutawanunulia bia tukikutana bar Tutawapa lift tukiwakuta barabarani
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  17. T

    JamiiForums Tanzania Jamii ina changamoto gani ambazo tukizibadilisha itakuwa fursa ya biashara?

    Wakuu heshima kwenu, nipo mahali sahihi kwa wakati sahihi, na jukwaa sahihi. Tupo watu wengi humu zaidi ya 10000, so hebu tupeane mawazo, huenda mimi sikuwa nayo, mwenzangu akawanayo. Jamii yetu inachangamoto gani zinazohitajika kutatuliwa, ambapo changamoto hizo hupelekea kupata fursa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inajua rushwa inayoendelea kwenye shirika la Hifadhi ya Jamii?

    Nadhani kwa sasa hawa wafanyakazi wa hilli shirika wamepiku askari wa babarani kwa kuonea watu na kula rushwa. Mtu akiwa nafuatilia haki yake atazungushwa sana ili mradi tu atoe rushwa. Kuna mama mmoja ni kati ya wafanyakazi wa DSTV walioachishwa kazi toka mwaka juzi, amefuatilia anaambiwa atoe...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

    Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo. Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu. Kijana tafuta hela...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua kwa nini binadamu haoni gizani?

    Habari wana jamii! naomben kujua kuhusu hili! Kwanini binadamu haoni gizani?:rolleyes:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…