Naomba ufafanuzi kuhusu Kozi ya Maendeleo ya Jamii

Wakusolve

Senior Member
Jul 30, 2020
190
137
Mwenye uelewa na hii kozi ya maendeleo ya jamii(community development) inayotolewa SUA anasaidia ni wapi utafanya kazi na je ni kozi yenye soko kwa sasa?
 
Samahani na pole sana.

Utapata viewers wa kutosha badala ya wale wa kukusaidia hitaji lako.

Hii inatokana na hao maofisa wa hiyo course waliopo mitaani tangazo lako walihisi kama kuna nafasi yoyote ya kazi umeileta jamvini.

We kama umeipenda basi isome tu suala la ajira ni serikali, Mungu na akili zako tu ndio suluhisho.
 
Maendleo ya jamii/ community development.
Ukiajiriwa serikalini Utakuwa CDO community devpt officer.
Kazi zako ni kuhamasisha maendeleo kwenye eneo husika kuanzia kwenye jamii na hata mahindi mwalimu mf. Wanawake nk.
Unaweza pia kufanya kazi kwa NGo nk.
Pia usichanganye kati ya maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii. Hivi ni vitu wawili tofauti.
Ajira zipo za kutosha tu kwenye mashirika.
 
Haa nalikuwa naitaji maoni ya wadau kuusu hi yo kozi tu walla so vingine
 
Maendleo ya jamii/ community development.
Ukiajiriwa serikalini Utakuwa CDO community devpt officer.
Kazi zako ni kuhamasisha maendeleo kwenye eneo husika kuanzia kwenye jamii na hata mahindi mwalimu mf. Wanawake nk.
Unaweza pia kufanya kazi kwa NGo nk.
Pia usichanganye kati ya maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii. Hivi ni vitu wawili tofauti.
Ajira zipo za kutosha tu kwenye mashirika.
Shukrani kwa mchango vipi pia wakurungezi nilisikia wanateuliwa kutoka bachelor of community development ni kweli
 
Wakurugenzi gani tena? Wakurugenzi wale ma Ded huteuliwa kulingana na uzoefu wao kazini! Wala hakuna course ambayo ina guarantees kwamba ukisoma unakuwa assured kuwa mkurugenzi. Tunapata michango mingi sana hapa itoshe tu kusema hakuna kozi yenye soko kuliko nyingine inategemea unavyo jitofautisha na wengine basi.
 
Asante kiongozi kwa kutoka mwanga
 
Back
Top Bottom