HAKI HAIPO CHADEMA WALA CCM, JAMII IPO GIZANI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi. Ingawaje zipo haki za ujumla za kila mwanadamu Kama vile Haki ya kuishi na kupata nyezo zinazomfanya mtu aishi.
Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi kutokana na utashi...
Nani anasema maoni pinzani,maoni kinzani yamezuiwa katika nchi hii.
Matatizo ya Wapinzani IGP Sirro alikuwa anawagombeza Chadema katika Uchaguzi uliopita. Anasema Chadema walikuwa hawana heshima kwa Polisi.
Tundu Lissu alikuwa anafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali katika Bunge. Kashkash ya...
Wakati dunia inaadhimisha siku ya mitandao ya kijamii, kumekuwa na maswali mengi kuhusu matumizi na matokeo yake kwa jamii. Kuna wanaoona mitandao ya kijamii imekuwa na manufaa sekta nyingi kama habari, biashara, sanaa na fedha, kuna wengine wanaona kuwa imeleta janga na changamoto nyingi, hasa...
Hii ni kazi ya Uandishi wa Maria Suriano wakati yuko field work nchini Tanzania mwaka 2007, hizi ni enzi za "DarHotwire" kama mtandao wa jamii wakati JF ndio imeeanza.
Angalia attachment (kiambatisho) cha PDF
Baadhi ya dondoo ya mkusanyiko wa kazi ya Maria Suriano
Rapper Kalapina...
Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile
siku hizi uko wapi?
Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea?
Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi?
Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni...
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.
Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
afrika
anastahili
bara
ccm
chanzo
jamii
john
john magufuli
jpm
kasi
kifo
kiongozi
kuuawa
magufuli
moyo
mwandishi
pombe
rais
rais magufuli
tiss
tuzo
uzalendo
Kwa umoja wetu natoa mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya watu wa JamiiForums (JF)
HATUA:
-Kufanya uchaguzi wa rais wetu pamoja na mkaimu
-Kisha raisi kwa mamlaka tutayompa atamchagua waziri mkuu
-Uteuzi wa mawaziri wa nyuzi zote za (JF)
Kero yangu ni juu ya kusengenywa sisi ambao tumejikuta tumezaliwa katika familia zilizofanikiwa. Mtu yupo na mwenzake kitaa wanamsema mtoto wa kishua fulani eti kwamba ana maisha lakini hajui kuyatumia. Tena wanasema kabisa kwamba hizo nafasi wangebahatisha wao eti wangekuwa wameshatoboa...
Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani. Kufua, kupiga pasi, kusafisha vyombo, usafi wa nyumba, kupika nk.
Si watu wengi wanahitaji...
Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Inakuwaje wanajamvi!
Wananch Marekani wamewalalamikia Polisi kwenda kinyume na miiko ya kazi kwa kupiga picha na jambazi waliomkamata na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Jambazi hilo lilijaribu kuiba benki likashindwa na kutokomea vichakani ambapo polisi walimfukuzia hadi kumkamata.
Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya.
Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. William Anangisye amesema Utafiti ni muhimu kwa maendeleo kwa Umma na ulimwengu wa ujumla akiongeza kupitia Tafiti hizo, Chuo vina wajibu wa kutatua changamoto zinazokabili jamii.
Ameeleza hayo Mei 24, 2021 katika Maadhimisho ya Sita ya...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kila nchi kwa nyakati tofauti hujaaliwa kuwa na mwanasiasa au wanasiasa wenye kujaaliwa vipaji vikubwa vya uongozi kiasi cha kugeuka kua kichocheo na hamasa kubwa kwa wanasiasa wanaoibukia na hata wasio wanasiasa. Ndipo nikajiuliza tunao wanasiasa wa namna hiyo...
Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko.
Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano au kujua trend ya bei ya zao hili sokoni hususani kwa mkoa wa Arusha.
Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini.
'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii...
Jana Mei 15, 2021 ilikuwa siku ya familia duniani. Familia ndiyo taasisi ya kwanza ambayo sote tumepita na wenye bahati tumeitengeneza au tutaitengeneza. Sasa hivi taasisi ya familia inapitia changamoto kubwa sana kuliko taasisi yoyote.
Nimejaribu kupitia mabadiko yetu jana nasikitika kusema...
Kwenu TAMISEMI.
Waombaji wa ajira wanahangaika kuwa mfumo wa kujisajili na ajira hasa upande wa Ustawi wa jamii unawakataa kwa sababu option iliyo ni ya Health (Bachelor degre ,diploma,advanced dimploma na certificate).
Kwenye NTA level mmeeka level 7 pekee wakati kuna vyuo vinatoa NTA level 8...
Mwenye uelewa na hii kozi ya maendeleo ya jamii(community development) inayotolewa SUA anasaidia ni wapi utafanya kazi na je ni kozi yenye soko kwa sasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.