Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

Hyrax

JF-Expert Member
May 20, 2023
613
1,551
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha mwaka ujao.

Nguvu ya kiroho katika ushindi na kila kitu msimu huu wa 2023/2024 imewaegemea Simba sc kuliko timu nyingine yoyote, Note my words kwa kuanza na Ngao ya Jamii. muwe na msimu mwema 2023/2024 machizi soka na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania na kule visiwani.
 
Back
Top Bottom