Muafrika hawazi maendeleo kwa Jamii yake, anachowaza ni Kushiba na Uasherati

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Kwa kifupi tusichoshane!.

Nimekuwa nikiwasikia watu wengi kama si wote wamekuwa wakiitupia mzigo wa lawama serikali ya kwamba inashindwa kutekeleza mambo muhimu naya msingi huku ikiwaacha wananchi wakitaabika kwa kuwa na maisha magumu,hata kile kidogo wakipatacho serikali imekuwa ikiwakamua kwa kodi lukuki pasipo kuona matokeo chanya ya kodi zao.

Hivi ndugu zangu labda niwakumbushe kitu,nyie mnaolalamika mnadhani muafrika katokea Ulaya?

Kiongozi yeyote aliyezaliwa hapa Afrika(BARA LILILOJAA NEEMA) kwa kifupi anapopata nafasi katika serikali yake ni lazima Kwanza Ashibishe tumbo lake halafu kitakachofuata ni Umalaya kwa kwenda mbele(Uasherati).Hiii roho ni kwakila Muafrika nikiwemo mimi na wala si utani(Waafrika tuna laana).

Ukipita vijiweni huko utawakuta wapumbavu kadhaa wanapiga stori kana kwamba wakipewa madaraka ya hii nchi watafanya vema kuliko waliotangulia lakini ukiwachunguza kwa undani utagundua ni umasikini ndiyo unao wasumbua.Yaani mtu kama Babu Tale ambaye amekulia kwenye umasikini wa kutupa apate nafasi ya kuwa waziri wa wizara fulani utegemee akuletee maendeleo?Yaani aache kujenga kwake na Kwao na kuwafurahisha wanawake zake aje akufurahishe wewe asiyekufahamu?

Ni nani leo angepewa madaraka kwenye sekta fulani akakutana na mzungu anataka kutorosha madini na akawekewa mzigo wa Rushwa mezani kuanzia milioni 500 angekataa? Aisee labda si Muafrika!.

Huyu huyu Muafrika anayetaka Magari mazuri,mademu wakali na apendaye sifa aziache hizo hela?

Najua kinachotusumbua ni wivu tu lakini waafrika wote ki-Matendo ni kama tunafanana!.

Leo najua unapiga domo kwasababu unasumbuliwa na njaa & umasikini lakini hata wewe ukipewa kitengo hakuna utakachofanya zaidi za kuzipiga kisawasawa!.

AFRIKA INA NEEMA,WAAFRIKA WANA LAANA!

Ni hayo tu.
 
Babu Tale ambaye amekulia kwenye umasikini wa kutupa apate nafasi ya kuwa waziri wa wizara fulani utegemee akuletee maendeleo?Yaani aache kujenga kwake na Kwao na kuwafurahisha wanawake zake aje akufurahishe wewe asiyekufahamu
Point kubwa
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Kwa kifupi tusichoshane!.

Nimekuwa nikiwasikia watu wengi kama si wote wamekuwa wakiitupia mzigo wa lawama serikali ya kwamba inashindwa kutekeleza mambo muhimu naya msingi huku ikiwaacha wananchi wakitaabika kwa kuwa na maisha magumu,hata kile kidogo wakipatacho serikali imekuwa ikiwakamua kwa kodi lukuki pasipo kuona matokeo chanya ya kodi zao.

Hivi ndugu zangu labda niwakumbushe kitu,nyie mnaolalamika mnadhani muafrika katokea Ulaya?

Kiongozi yeyote aliyezaliwa hapa Afrika(BARA LILILOJAA NEEMA) kwa kifupi anapopata nafasi katika serikali yake ni lazima Kwanza Ashibishe tumbo lake halafu kitakachofuata ni Umalaya kwa kwenda mbele(Uasherati).Hiii roho ni kwakila Muafrika nikiwemo mimi na wala si utani(Waafrika tuna laana).

Ukipita vijiweni huko utawakuta wapumbavu kadhaa wanapiga stori kana kwamba wakipewa madaraka ya hii nchi watafanya vema kuliko waliotangulia lakini ukiwachunguza kwa undani utagundua ni umasikini ndiyo unao wasumbua.Yaani mtu kama Babu Tale ambaye amekulia kwenye umasikini wa kutupa apate nafasi ya kuwa waziri wa wizara fulani utegemee akuletee maendeleo?Yaani aache kujenga kwake na Kwao na kuwafurahisha wanawake zake aje akufurahishe wewe asiyekufahamu?

Ni nani leo angepewa madaraka kwenye sekta fulani akakutana na mzungu anataka kutorosha madini na akawekewa mzigo wa Rushwa mezani kuanzia milioni 500 angekataa?,Aisee labda si Muafrika!.

Huyu huyu Muafrika anayetaka Magari mazuri,mademu wakali na apendaye sifa aziache hizo hela?

Najua kinachotusumbua ni wivu tu lakini waafrika wote ki-Matendo ni kama tunafanana!.

Leo najua unapiga domo kwasababu unasumbuliwa na njaa & umasikini lakini hata wewe ukipewa kitengo hakuna utakachofanya zaidi za kuzipiga kisawasawa!.

AFRIKA INA NEEMA,WAAFRIKA WANA LAANA!

Ni hayo tu.
Ni kweli kabisa ndo maana kila siku humu na comment bora mkono kwenda kinywani na ngono baas ukisubiria kufa.
 
Hata tukiwaza maendeleo bado tu. Maendeleo yetu ni kukopa matrillion na kujenga reli ya kisasa ya umeme sgr inayopita nakukatiza porini watu wanapojisaidia hawana vyoo.
 
Kwenye ngono kila kiumbe kinapenda hicho kitu. Labda kushiba tunatofautiana mshibo kati yetu na hao unaotulinganisha. Ngono? Ukiwa na hela utapata yeyote unayemuhitaji bila kikwazo hata binti mbichi utampata tu tena wengi kwa kuwa hujawa na matumaini kuwa watafaidi fedha ulizo nazo. Kwa hiyo kama ni mpenda ngono huna ukomo wa kufanya kila ukihitaji
 
Mzee #Kinana anasema “wabunge wetu wanalipwa pesa kidogo sana”

MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA.

Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn linaumiza roho sana.

Mwalimu wa Tanzania mwenye TGTS D1 mwenye mshahara take home 531,000 kwa mwezi, akifanya kazi kwa miaka 38 atalipwa shilingi 242,136,000 (milioni 242).

MBUNGE wa Tanzania kwa mwaka mmoja analipwa shilingi 240,300,000 (milioni 240 bila posho za kamati).

Yani mwalimu wa Tanzania mwenye degree analazimika kufanya kazi kwa miaka 38 ili aweze kupata malipo anayopewa mbunge wake (ANAYETAKIWA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU) kwa mwaka mmoja tu. Ndio uzalendo huu?????? @SuluhuSamia

YANI IPO HIVI,
Mbunge anayelala tu bungeni @bunge_tz analipwa;

Posho za vikao kwa mwaka ni sh. 42,300,000 (milioni 42.3)
Mshahara na marupurupu kila mwezi 16,500,000 × miezi 12 = 198,000,000 (milioni 198).
Jumla kwa mwaka mmoja ni sh. 240,300,000 (milioni 240, hii haihusishi posho za kamati za kudumu).

Kwa miaka mitano, mbunge wa Tanzania analipwa 1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.

TUCHANGANUE MALIPO YA MBUNGE VIZURI.

Sitting Allowance - 220,000
Per Diem - 250,000
Jumla kila siku mbunge analipwa 470,000/= (haijalishi ameongea au lah).
Mshahara na marupurupu kwa mwezi - 16,500,000/=

Mshahara wa mbunge kwa mwaka mmoja ni shilingi 198,000,000 (milioni 198).
Mshahara wa mbunge kwa miaka mitano ni shilingi 990,000,000 (milioni 990).
Bado kila baada ya miaka mitano huyu mbunge analipwa kiinua mgongo milioni Mia mbili (200,000,000).

Vikao vya Bunge

Kikao cha Januari 31 - Feb 10 = siku 11
Kikao cha bajeti April 4 - June 30 = siku za vikao 59
Mkutano wa tisa wa bunge mwaka 2022 Nov 1-11 = siku 10
Mkutano wa nane kuanzia Sept 13-23 = siku 10
Jumla ya siku za vikao vya bunge ni siku 90.

Siku 90 za vikao × 470,000 = 42,300,000
42,300,000 za vikao × miaka 5 = 211,500,000

JUMLA KWA MIAKA MITANO
1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.

TUANGALIE MSHAHARA WA MWALIMU KWA MIAKA MITANO

Mwl. mwenye TGTS D1 mshahara wake basic ni shilingi 771,000 kwa mwezi, ukitoa makato, take home ya mwalimu huyu no shilingi 531,000.

Mshahara wa huyu mwalimu kwa mwaka 531,000 × miezi 12 = 6,372,000 mara miaka mitano = 31,860,000 (huu ni mshahara wa Mia I miwili wa mbunge).

Kwa miaka 38 mwalimu analipwa 6,372,000 * 38 = 242,136,000 (sawa na mshahara wa mwaka mmoja wa mbunge).

Huyu mwalimu akidai nyongeza ya mshahara anaambiwa "KUWA MZALENDO." Kama sio wizi huu ni nini????

Wakati mbunge wa Tanzania anaogelea kwenye bwawa la utajiri wa kodi za walala hoi, mtoto wa mtanzania maskini anashindwa kujengewa hata choo cha tundu kwenye shule yake; hata dawati la shilingi elfu 50 tu limeshindikana; hata kitabu cha elfu kumi tu imeshindikana.

IFIKE MAHALI TUACHE HUU UFALA WA KUENDELEA KUFUMBIA MACHO UDHALIMU WAKATI TUNAOUMIA NI SISI NA WATOTO WETU. MABADILIKO YA KWELI YATAKUJA PALE WATU WA CHINI TUTAKAPOSIMAMA KUPINGA UDHALIMU.
 
Kodi analipa huyo mbunge au Hapana kama halipi Watanzania watakuwa wajinga kulipa kodi wakatae wote
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Kwa kifupi tusichoshane!.

Nimekuwa nikiwasikia watu wengi kama si wote wamekuwa wakiitupia mzigo wa lawama serikali ya kwamba inashindwa kutekeleza mambo muhimu naya msingi huku ikiwaacha wananchi wakitaabika kwa kuwa na maisha magumu,hata kile kidogo wakipatacho serikali imekuwa ikiwakamua kwa kodi lukuki pasipo kuona matokeo chanya ya kodi zao.

Hivi ndugu zangu labda niwakumbushe kitu,nyie mnaolalamika mnadhani muafrika katokea Ulaya?

Kiongozi yeyote aliyezaliwa hapa Afrika(BARA LILILOJAA NEEMA) kwa kifupi anapopata nafasi katika serikali yake ni lazima Kwanza Ashibishe tumbo lake halafu kitakachofuata ni Umalaya kwa kwenda mbele(Uasherati).Hiii roho ni kwakila Muafrika nikiwemo mimi na wala si utani(Waafrika tuna laana).

Ukipita vijiweni huko utawakuta wapumbavu kadhaa wanapiga stori kana kwamba wakipewa madaraka ya hii nchi watafanya vema kuliko waliotangulia lakini ukiwachunguza kwa undani utagundua ni umasikini ndiyo unao wasumbua.Yaani mtu kama Babu Tale ambaye amekulia kwenye umasikini wa kutupa apate nafasi ya kuwa waziri wa wizara fulani utegemee akuletee maendeleo?Yaani aache kujenga kwake na Kwao na kuwafurahisha wanawake zake aje akufurahishe wewe asiyekufahamu?

Ni nani leo angepewa madaraka kwenye sekta fulani akakutana na mzungu anataka kutorosha madini na akawekewa mzigo wa Rushwa mezani kuanzia milioni 500 angekataa? Aisee labda si Muafrika!.

Huyu huyu Muafrika anayetaka Magari mazuri,mademu wakali na apendaye sifa aziache hizo hela?

Najua kinachotusumbua ni wivu tu lakini waafrika wote ki-Matendo ni kama tunafanana!.

Leo najua unapiga domo kwasababu unasumbuliwa na njaa & umasikini lakini hata wewe ukipewa kitengo hakuna utakachofanya zaidi za kuzipiga kisawasawa!.

AFRIKA INA NEEMA,WAAFRIKA WANA LAANA!

Ni hayo tu.
Nimekupa like kwa kusoma heading tu
 
Afrika ina neema Waafrika tuna laana
 
Back
Top Bottom