jamii forums

  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana kwamba huwezi kufanikiwa ulipozaliwa (kukulia) na msemo, ”Naenda kutafuta Maisha” ulivyojengeka kwa wanajamii

    Hali ilivyo:- 1.Watanzania waishio nje. Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa kada ya Ualimu wajitolee

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Washabiki wa American Football 🏈/NFL Humu JamiiForums?

    Habarini Wakuu, Natumaini mko poa kabisa katika jitihada za kujiendeleza kila siku. Kama kichwa cha habari kinavyouliza hapo juu, ningependa kufahamu (na kufahamiana) kama kuna mashabiki humu JamiiForums wa mchezo wa American Football 🏈 au "ligi" ya NFL ya Marekani. Nafahamu ni moja kati...
  4. JamiiForums Tanzania Utenzi:-Kuipenda Tanzania, Ni Corona kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua,Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia,Afya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 The Suicide Note that no-one read

    THE SUICIDE NOTE THAT NO ONE READ “I am trying to be strong and fight these demons but no matter how hard I try, their voices are stronger and my pace is nothing compared to theirs. Why do I feel so empty so lost, I am tired of holding onto broken pieces of a mirror that used to mirage my life...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Instagram promotion restriction problem

    Msaada account ya yangu ya Instagram imekua restricted kufanya promotion Je? Ni vipi naweza kutatua ili tatizo?
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali ya awamu ya tano imeyafanyia kazi baada ya kubandikwa hapa JamiiForums

    Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums. Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia JamiiForums ambapo mengi...
  8. JamiiForums Tanzania Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

    Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22 Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF enzi hizo tulikuwa wachache sana humu jamiiforums maana smatphones zilikuwa bei sana, bando...
  9. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Jamii Forums yasifiwa kufanya kazi kwa weledi

    Mail & Guardian moja kati ya gazeti linalopigania usawa na uhuru wa kujieleza katika nchi za Kiafrika limeandika kuwa Uandishi wa Habari unapoteza maana yake kwa kuwa waandishi wa habari wana Uanaharakati na urazini katika uandishi wao. Wameandika kuwa ni vyombo vichache ambavyo hufanya kazi...
  10. JamiiForums Tanzania Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yatembelea Ofisi za Jamii Forums

    Kamati ya Maudhui ya TCRA ikiongozwa na Makamu Menyekiti wake, Ndugu Joseph Mapunda, imetembelea ofisi za Jamii Forums ikiwa na lengo la kujifunza mambo kadha wa kadha kuhusu Taasisi na kujionea namna huduma inavyotolewa kwa wananchi. Kamati hiyo ilipokelewa na watendaji wa Jamii Forums...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Mtoto Njiti Duniani: JamiiForums na Doris Mollel Foundation waingia makubaliano

    Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao. Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
  12. JamiiForums Tanzania Hodi katika jukwaa lililo bora la JamiiForums

    BWANA ASIFIWE ............. ! Najitambulisha kwenu wana JamiiForums kwamba ni mgeni wenu. Natarajia mapokezi na ushirikiano kama mwanajamii mzee lakini kijana katika jukwaa ! Mimi nina mke mmoja mpaka kifo, na nina watoto wa kiume na kike katika familia niliyojaliwa, na Mungu aliyemwumba...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu waungwana wa Jamii Forums

    Heshima yenu wakuu: Mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Dar es salaam na katika harakati za kielemu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita. Pia kupitia marafiki nimefanikiwa kuwa na ujuzi wa kutumia Computer na applications zake mbalimbali ikiwemo namna ya ku install hizo apps na kuzitumia na kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  15. JamiiForums Tanzania Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

    Amani iwe nanyi wadau! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa CHADEMA. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha...
  16. JamiiForums Tanzania Wazo langu! Ingependeza kama zoezi la Sensa lingeambatana na upimwaji wa Virusi vya Corona

    Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
  17. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake watano ninaowakubali humu JF

    Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Katika maisha kila mtu anakuwa anakuwa inspired na watu flani either kimtazamo au life style yao inasababisha mtu kuvutiwa nao. Mfano mzuri ni humu JF kuna baadhi ya members wa jinsia ya kike nimetokea kuwakubali na kuwa shabiki wa kutupwa kwao. 5...
  18. JamiiForums Tanzania Siku niliyotongozwa na huyu Msichana wa Instagram (Shabiki wa Harmonize)

    Katika maisha hakuna kitu ambacho uwa kinaleta mshtuko kwa sisi mabaharia kama kutongozwa na demu mkali ambae na wewe ulikuwa unajiandaa kumtokea live, ilikuwa jumapili moja nipo zangu mtandao pendwa wa instagram naperuzi kwenye page ya mmakonde Harmonize Temboo. Sasa nakumbuka Harmonize...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu Ex wangu kaniloga

    Wakuu habarnii za miangaiko ya hapa na pale, kiukweli kuna mwanamke tuliachana miezi mitatu imepita ila cha ajabu nashindwa ku move on jamani mda huu kanifanya mtumwa maana nimemuomba turudiane kakubali ila sasa hajawahi kunitumia SMS hadi mimi nimuanze na anajibu kifupi. Najua hanipendi na...
  20. JamiiForums Tanzania Mjue Oladee, kichwa kinachotembea akiwa analia bila Passport

    Jina lake halisi anaitwa Oladee kijana mzaliwa wa Nigeria. kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Ilorin kinachopatkana eneo la Kwara nchini Nigeria. Mwaka 2009 Oladee alipata mkasa mkubwa ambapo badae mkasa huo ukamfanya kuwa mtu maarufu sana duniani. Mwaka 2009 alipewa kiasi cha Naira200...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…