jamii forums

  1. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ananipenda huyu mwanamke?

    Wakuu habari za siku ndugu zangu wanaJamiiForums? Natumahi mu wazima kabisa? wanachuo wenzangu nawakumbusha siku ni chache turudi katika pilika pilika la kusaini boom, Wakuu niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna mwanamke mmoja ni mwanachuo pia kama mimi, sasa tumekuwa...
  2. Firmino bobby

    JamiiForums Tanzania Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

    Muda mrefu nimekua msomaji tu wa mada zenu nikifuatilia karibu kila post inayowekwa katika mtandao huu, nina circle ndogo sana ya marafiki na watu ninao fahamiana nao kwa muda mrefu sasa hali inayo ni fanya muda mwingi ninao upata niwe nautumia kuwasomeni enyi wakuu wangu, ninavyo vingi vya...
  3. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kutoka kimapenzi na huyu binamu yangu?

    Wakuu nauliza tu kama una binamu wa kike mkali sana anaonyesha dalili za kukutaka kimapenzi, ni sahihi kuwa naye kimapenzi hau? Maana kuna binamu yangu hapa kazidi mazoea nataka kuwa naye
  4. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu kufunguliwa wiki ijayo. Huyu msichana wa UDSM nimeshamkosa

    Wakuu poleeni na miangaiko ya hapa na pale. Leo Mkuu wetu wa Nchi, JPM ametangaza kuanzia wiki ijayo atafungua Vyuo vyote Vikuu kwani anadai ugonjwa wa COVID-19 ushaisha na Tanzania ni salama kabisa🙏🙏🙏, Nije kwenye mada hapa kitaani kuna msichana mmoja namfukuzia ni Mwanachuo pale UDSM...
  5. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi Mwanaume kumsaidia Mkewe kazi za ndani?

    Hivi ni sahihi mwanaume kumsaidia kazi za ndani mkewe kama kuosha vyombo, kupika na kuogesha watoto?
  6. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo Harmonize kahojiwa rasmi EATV, amtaja Diamond

    Wakuu atimae Harmonize leo ameamua kumaliza bifu lake na EATV, amepiga stori mbili tatu na Tbway katika kipindi cha Friday Night pia amemtambulisha msanii wake ibrah ambae alikuwa akitambulisha EP yake ya steps. Kilichonifuraisha ni kusikia Harmonize akiisifu WCB. Pia amesema hana ugomvi nao...
  7. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu EX wangu?

    Wakuu kuna mwanamke nimeachana naye tuna mwezi sasa na tuliachana kwa kukata mawasiliano tu kutokana na tabia yake aliyokuwa ananifanyia, sasa jana kanitumia sms kuwa amenimiss sana. Naombeni ushauri nifanyaje?
  8. Guacamole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaanzaje kuifananisha Prison Break na Money Heist?

    Hivi unaanzaje kwa mfano!! Yaani Messi umfananishe na Kichuya kweli?! Haiingii akilini! Niseme tu, mimi ni mmoja kati ya watu tulioangalia series hizo zote 2 na sioni kama ubora ama uzuri wa The Heist unaweza kuupita ule wa Prison Break Nilichogundua ni kwamba watu wengi wanaosifia The Heist...
  9. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli kuhusu wanawake, njooni mpinge

    Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinishangaza sana kuhusu mapenzi. Leo nimeamua kidogo niliulize ili swali maana kwangu naliona sio la kawaida. Hivi kwanini mtu ukiwa upo kwenye mahusiano ukimtongoza mwanamke yoyote nje hakatai tena unampata kirahisi tu? ila mfano ukiwa single ukijaribu kumtongoza...
  10. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana kaniacha ila ana-like picha zangu za Instagram

    Wakuu habari zenu za toka juzi kati? Natumahi mpo poa kabisa Wale wanaondelea kusoma simulizi yangu ya penzi la mfungwa nimeshapost vipande vipya kuanzia sehemu ya 11 hadi 14, ni bonge la simulizi sio poa pita kule kwenye jamvi la Entertainment utaikuta. Nije kwenye mada, kuna demu wangu...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

    Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
  12. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu jirani yangu wa kike ananipenda

    Habari zenu wakuu poleni kwa miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta chochote riziki ili kujikwamua kiuchumi Nije kwenye mada, mimi nipo eneo x sasa ninapoishi nyumba yetu imepakana na nyumba fulani yaani pua na mdomo. Hapo kuna msichana mmoja tulisoma wote shule ya msingi ila baada ya hapo...
  13. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ananipelekea kuwa chizi

    Wakuu nakiri mapenzi ni kitu kingine ndio maana Mungu aliyaumba mapenzi. Kuna mwanamke ambae ninampenda sana ila tumegombana now wiki ya pili ila kakaa moyoni mwangu. Mimi ndie niliyeamua kumchunia kutokana na tabia zake alizokuwa akinifanyia ila kiukweli mawazo yananitesa muda mwingi nashinda...
  14. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu

    Daaah wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu, inshort nina wiki sina maelewano na demu wangu ambae tunakaa mbali mbali sasa na jamaa angu ambae ni msela yaani tunapatana utadhani sisi ni ndugu wa damu. Juzi kati kampost FB demu wangu akaandika caption ya love is blind Then demu wangu...
  15. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi haya yalishawahi kukukuta?

    Wakuu, huyu msichana anaonyesha kila dalili kuwa hanipendi lakini nikimwambia tuachane kama vipi hatakii. Nikisema nimsemehe anaendelea na tabia zake zilezile nikisema nimpotezee ananitafuta huku analalamika. Nitumie mbinu ipi kumuacha?
  16. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nimuache huyu Mwanamke ila nashindwa

    Wakuu nipo kwenye mahusiano nisiyoyaelewa kwa maana kuna mwanamke nipo nae nampenda sana ila yeye inaonyesha hanipendi lakini nikijitahidi kusema nimkaushie nashindwa. Mwanzoni alikuwa ananipenda sana kweli lakini kadiri siku zinavyozidi ndio upendo umepungua. Yaani wiki nzima mimi ndio...
  17. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo kwenye haya mahusiano nisiyoyaelewa

    Kiukweli mapenzi yanauma sana jamni acheni tu, kuna mwanamke nipo nae sasa tuna miezi mitatu, tulikutanaga instagram ndipo tukawa tunawasilana hadi baadae tulipoingia kwenye uchumba, bahati nzuri tunakaa mtaa sio mbali mbali, yeye yupo kihonda mimi nipo msamvu na uwa tunakutana mara kwa...
  18. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ananipenda kweli huyu demu?

    Wakuu niaje mazee, kuna kademu kamoja ni karfk kangu tu, tumezoeana hata wiki 2 hazijaisha ila kameanza kunionyeshea vitu vya ajabu, kanaweza kunitumia sms ya uck mwema saa6 uck, mara saa12 asubuhi kakanitumia sms ya siku njema mimi nakasoma tu nakatafutia gia, leo nimekajarbu kukaambia...
  19. Sharobaro la jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa corona jana nimenyimwa tunda na huyu demu wa kisomali

    Aisee hii corona imetuletea majanga sisi mabaharia, Jana katika harakati zangu za kusaka angalau tunda kwaajili ya kujiburudisha nalo usiku nimejikuta nikilikosa huku sababu za kulikosa tunda ikiwa ni corona, kuna ex wangu wa muda mrefu ambae tumekuwa tukipashana vipolo kipindi cha nyuma sasa...
  20. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

    Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka. Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini. Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio...
Back
Top Bottom