Midnight

JF-Expert Member
Apr 24, 2021
229
675
Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.

Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub hivi ni either ma barmaid wastaafu au mastistaduu waliokubuhuu kwenye shughuli za uchunaji, leo basi si nimejifanya kuwatoloka wana ukoo, nikasema ngoja nijichimbie hapo kijiwe nongwa jicho moja, mguu na meza upande duka la nguo upande salon ya kike, aisee kumbe mchezo wao sio wa kitoto yaani ukiagiza yako moja na yeye anachukua yake moja, ukinywa ya pili na yeye anakunywa nyingine Sasa nimeshtuka hapa nimeacha kumchekea chekea nataka anieleze hii bili ni yangu au yake maana sikumpa go ahead ya kujihudumia mwenyewe.

Kama mtaona kimya sana kesho mjue nitakuwa nimeungana na ndugu Sabaya, maana nataka nifanye ambush ya viwango vya Mwamposa hapa Pabun.
 
Mimi kunaduka nilikuwa nanunua gas..sasa chenj ilibaki kama 3000..wakati waduka ananiletea nimdada..nahuyo wa ki pub nae anatoka anasema hiyo chenj nipe mimi nilimwangalia basi karudia nakurudia mikausho kama yoote..simfahamu hanifahamu..
Naendelea kujifunza, ila kwa sasa mahusiano ya kidiplomasia nimeyavunja kabisa kati yangu na vi-pub uchwara hivi.
 
Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.

Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub hivi ni either ma barmaid wastaafu au mastistaduu waliokubuhuu kwenye shughuli za uchunaji, leo basi si nimejifanya kuwatoloka wana ukoo, nikasema ngoja nijichimbie hapo kijiwe nongwa jicho moja, mguu na meza upande duka la nguo upande salon ya kike, aisee kumbe mchezo wao sio wa kitoto yaani ukiagiza yako moja na yeye anachukua yake moja, ukinywa ya pili na yeye anakunywa nyingine Sasa nimeshtuka hapa nimeacha kumchekea chekea nataka anieleze hii bili ni yangu au yake maana sikumpa go ahead ya kujihudumia mwenyewe.

Kama mtaona kimya sana kesho mjue nitakuwa nimeungana na ndugu Sabaya, maana nataka nifanye ambush ya viwango vya Mwamposa hapa Pabun.
Wenge la bia ilo unakunywa bia wewe alafu unaona kama mpo wawili
 
Mimi ni fala mode ya pro max au kawaida kawaida?
Shida yako unataka uonekane yahunde mbele ya wanawake.....na wanakuona wa maana kwa sababu una hali flani na afya njema...endeleza yahunde wako fala wewe😂😂😂...sitoi msaada wa bure kwa mwanamke mimi..siwezi kuwa yahundee😂😂😂😂😂
 
:D:D:D🤣🤣🤣 Umenikumbusha "Slogan" ya zamani kitambo:.... Usiwe kupe jitegemee.
 
Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.

Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub hivi ni either ma barmaid wastaafu au mastistaduu waliokubuhuu kwenye shughuli za uchunaji, leo basi si nimejifanya kuwatoloka wana ukoo, nikasema ngoja nijichimbie hapo kijiwe nongwa jicho moja, mguu na meza upande duka la nguo upande salon ya kike, aisee kumbe mchezo wao sio wa kitoto yaani ukiagiza yako moja na yeye anachukua yake moja, ukinywa ya pili na yeye anakunywa nyingine Sasa nimeshtuka hapa nimeacha kumchekea chekea nataka anieleze hii bili ni yangu au yake maana sikumpa go ahead ya kujihudumia mwenyewe.

Kama mtaona kimya sana kesho mjue nitakuwa nimeungana na ndugu Sabaya, maana nataka nifanye ambush ya viwango vya Mwamposa hapa Pabun.
Utaacha simu
 
:D:D:D🤣🤣🤣 Umenikumbusha "Slogan" ya zamani kitambo:.... Usiwe kupe jitegemee.
Kujitegemea tumeumbiwa wanaume tu. Hao ndugu zetu mizigo tu duniani hapa, Sasa kunifanya nilale na mawazo ndio nini sasa?!?
 
Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.

Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub hivi ni either ma barmaid wastaafu au mastistaduu waliokubuhuu kwenye shughuli za uchunaji, leo basi si nimejifanya kuwatoloka wana ukoo, nikasema ngoja nijichimbie hapo kijiwe nongwa jicho moja, mguu na meza upande duka la nguo upande salon ya kike, aisee kumbe mchezo wao sio wa kitoto yaani ukiagiza yako moja na yeye anachukua yake moja, ukinywa ya pili na yeye anakunywa nyingine Sasa nimeshtuka hapa nimeacha kumchekea chekea nataka anieleze hii bili ni yangu au yake maana sikumpa go ahead ya kujihudumia mwenyewe.

Kama mtaona kimya sana kesho mjue nitakuwa nimeungana na ndugu Sabaya, maana nataka nifanye ambush ya viwango vya Mwamposa hapa Pabun.
Umekosea ungekuwa unaagiza huku na huku na ungekaa kwenye masofa au siku hizi kale kaVIP hakapo?
 
Kunywa maji mengi sana, akili ikae sasa,wewe huyo huyo utapigwa mzinga ada ya mtoto wa mme mwenzio. A the best
Lakini kwa hasara za jana usiku lazima atalipia mbwa yule, yaani Mimi katibu mzima wa kutokwenda jumuiya leo kwasababu ya mawazo ya kuchunwa bila idhini yanga kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom