ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,812
- 39,581
Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma
2. Jamii forums imeajiri vijana wengi wa Kitanzania
Kuifungia jamii forums inasababisha wasipate matangazo, na hivyo Melo ataamua kufanya redundant, hawa vijana wataenda wapi
3. Jamii forums ni ubunifu wa Mtanzania mwenzetu
Serikali inashoboka na meta unaacha kitu chetu wenyewe
4. TCRA kusafishwe wametoka kwenye ueledi Sasa wanafanya mambo Kwa kukomoana tu.
5. Kosa la kuifungia jamii forums lilikuwa la kionevu, picha za faragha zilivuja Ikulu na hazikuwa hapa jamii forums pekee.
6 TCRA itoke itoe taarifa ya kwanini wanaendelea kuifungia jamii forums kama walivyo toa taarifa ya kuifungia tarehe 9 September, ukimya wao unatupa wasiwasi.