Design Your Idea
Member
- Jun 3, 2024
- 57
- 197
Kuna IDs ambazo wakilianzisha kuna nyomi na vumbi linafuatilia.
Kuna IDs hata wakianzisha misemo basi inaingia kwenye tamusi ya JF.
Kuna IDs ambazo at least 80 ya wana JF wameweza ku-interact nao .
Najua hautakosa kuwataja secretarybird, binti wa zamani, etc
Taja wengine