Gari ya Town Ace pickup 4W ipoje? Nataka kuijua kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua?

Gari ya Town Ace pickup 4W ipoje? Nataka kuijua kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua?

Adam mandai

New Member
Joined
Aug 8, 2026
Posts
2
Reaction score
4
Nahitaji gari town Ace pickup 4W mpya au used naomba msada kwa mwenye uelewa nazo anipitishe kwenye darasa kabla sijachukua hatua yeyote ya manunuzi.

Asante 🙏🏾

Naishi Lindi.

1786961000548.png
 
Habari wanajamiiForums, natumaini mko salama na wazima.

Naomba kufahamu zaidi kuhusu bei ya gari aina ya Toyota TownAce Pickup 4WD, hasa ikiwa ni mpya. Bei yake kwa sasa ni kiasi gani?

Hii ni mara yangu ya kwanza kutaka kununua gari, hivyo naomba pia ushauri kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya manunuzi.

Asanteni sana. 🙏🏾
 
Back
Top Bottom