Hivi wana JamiiForums mliandamana huko mitaani kweli?

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,309
Reaction score
21,668
Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.

Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.

Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au mlimbikilia vijijini! Mi binafsi nlitoka ila ni ile 29 na 30 hizo siku nyingine nlijificha baada ya kugundua kuna masnipers washenzi sana.

Niwapongeza members wote mlioandamana na hamkufikwa na maafa, mitandao mengine inapaswa kujifunza kwetu.

TUSISAHAU TAREHE 9/12/2025 TUNATOKA TENA AWAMU HII LAZIMA KIELEWEKE.
 
sehem ya kuzika mnazo sasa?
 
Father Mimi nilitoka na kilinuka kweli.Kuwepo hapa ni Mungu tu bado ananipenda maana hayasimuliki

Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.

Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.

Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au mlimbikilia vijijini! Mi binafsi nlitoka ila ni ile 29 na 30 hizo siku nyingine nlijificha baada ya kugundua kuna masnipers washenzi sana.

Niwapongeza members wote mlioandamana na hamkufikwa na maafa, mitandao mengine inapaswa kujifunza kwetu.

TUSISAHAU TAREHE 9/12/2025 TUNATOKA TENA AWAMU HII LAZIMA KIELEWEKE.
Namjua mwanaJF anayeuguza jeraha la risasi na amejeruhiwa akiwa nyumbani kwake ndani ya geti.
 
Mimi nilitoka nikachukua matukio live, nili nusurika kukamatwa nikajificha mpaka tarehe 8 ndio nikawa huru nilikuwa natafutwa na mtu ninayemfahamu bila sababu za msingi kumbe snitch.
Nasikitika mrangi sijamuona jukwaani tangu apost picha ya maandamano, na hofia aliuwawa.
 
Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.

Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.

Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au mlimbikilia vijijini! Mi binafsi nlitoka ila ni ile 29 na 30 hizo siku nyingine nlijificha baada ya kugundua kuna masnipers washenzi sana.

Niwapongeza members wote mlioandamana na hamkufikwa na maafa, mitandao mengine inapaswa kujifunza kwetu.

TUSISAHAU TAREHE 9/12/2025 TUNATOKA TENA AWAMU HII LAZIMA KIELEWEKE.
Watu wa “teeth” mmekuja kutafuta waandamanaji hadi huku ili muwape Treason sio?
 
Back
Top Bottom