Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan
Huku taifa la Kenya likisherehekea miaka 59 ya uhuru, hotuba ya Rais mpya wa awamu ya tano Dkt. William Ruto ilikuwa ya muhimu sana na kati ya mambo mengi aliyoyasema ni ahadi 10 muhimu; lakini swali la msingi lililobakia kwenye vichwa vya raia wengi ni Je atatimiza ?
Hizi hapa ahadi 10 za...
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo
Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
Naomba kuuliza suala hili kwa Afande IGP, RPC wa Tanga na DTO wa Tanga je Mkoa wa Tanga ni Jamhuri inayojitegemea?
Katika kujitafutia maendeleo watanzania wanafanya kazi usiku na Mchana Ili kuweza kupambana na ugumu wa maisha na kupata mahitaji Yao ya kila siku.
Ni dhahiri kwamba katika...
Waziri mkuu kwa niaba ya wanakijiji wa Mtera staff mpwapwa DODOMA nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kukupa afya njema na kuendelea na majukumu yako ya kitaifa.
Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa naomba nifikishe malalamiko yetu kwako juu ya mradi wa maji ambao umehujumiwa kwa muda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa - Msalato, Dodoma leo tarehe 30 Oktoba, 2022
Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele.
Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Antoine Tshisekedi, Oktoba 23, 2022 kwa Ziara ya Kiserikali
Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971.
Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India
Nimeuliza ubalozi wa...
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
anahitajika
cashier
certificate
chakula
cheti
clearing
elimu
fundi
habari
hii
jamhuri
jina
kazi
kulipwa
mgahawa
mimi
mpishi
mtu
natafuta
natafuta kazi
ndugu
ndugu zangu
siku
tanzania
unatafuta
uzoefu
vitafunwa
wakuu
waungwana
welding
Ruto amesema kwasababu Umoja wa Mataifa umetuma vikosi vyake kusaidia katika upatanishi wa amani na kupambana na waasi wa M23, kwa upande wa Kenya ikiwa ni sehemu ya EAC pia itajitolea kusaidia taifa hilo la Afrika ya Kati.
Alibainisha kuwa kila nchi ndani ya EAC, ambayo DRC ni sehemu yake kwa...
Nchi ya Jamhuri ilikuwa inaongozwa na katiba ya vyama vingi, katiba hio ilikuwa inaruhusu kila chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nyanja mbalimbali za uongozi ili kurahisisha maendeleo ya nchi hiyo ya Jamhuri
Ila ifikapo mwaka 1980 kulikuwa na migogoro mingi sana kati ya jamii...
Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini.
Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu( ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013
Nourredine Adam, kiongozi wa kundi la Popular Front for the Rebirth of...
hii ni taarifa ya Zura(EWURA ya Zenji) mwezi huu tar 4 juu ya bei ya mafuta:
Pettrol - Tsh.2642 , Diesel- Tsh.2644
na hii ni taarifa ya EWURA ya jamhuri tarehe na mwezi kama wa ZURA; Petrol - Tsh. 3148, Diesel - 3258
Maisha tunayoishi huku bara wapemba wasingeweza.
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amemtaka serikali ya JMT iwe ya. Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar
CUF Ilikuwa inawasilisha maoni yake mbele ya Kikosi kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe.
===
Chama cha Wananchi (CUF) kimependekeza Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na muundo wa...
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.