Roma Mkatoliki anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai

Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni mfuatiliaji mzuri wa nyaraka na matukio

Isingekuwa inshu ya uongozi wetu kumfyekelea mbali mtu huyu pindi atakapotua kwenye paa la nchi yetu, Roma alitakiwa kupewa nafasi ya CAG, uwaziri wa mambo ya ndani au agombee urais ili tummwagie kura za kutosha hata kama ataunda chama chake

Roma uishi milele
 
Hivi Urais wa TZ ni kazi rahisi Sana mnajiropokea majina kwamba fulani anaweza?

Yani unakuta MTU kapiga picha Tu kidogo kavaa Suti anashikana mikono na wazungu,,chawa wanaweka caption/comment raisi TZ 2045. Haya huyu na Ney wameamua kutoka na genre yao ya hip-hop siasa,basi Kila MTU anawaona Wana maono,,they are actually saying what everybody knows albeit loudly ,kwa hawa jamaa hawafai. Sio kitu kipya..we can call them courageous but not fill them with presidential labels
 
Hivi Urais wa TZ ni kazi rahisi Sana.mnajiropokea majina kwamba fulani anaweza?

Roma and Ney Wamitego are enlightened musicians; vijana wa Tanzania wangekuwa wamejitambua kama hao wenzao ccm isingewabebesha magunia ya misumali!!!!
 
Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai

Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni mfuatiliaji mzuri wa nyaraka na matukio

Isingekuwa inshu ya uongozi wetu kumfyekelea mbali mtu huyu pindi atakapotua kwenye paa la nchi yetu, Roma alitakiwa kupewa nafasi ya CAG, uwaziri wa mambo ya ndani au agombee urais ili tummwagie kura za kutosha hata kama ataunda chama chake

Roma uishi milele
We kweli ni form 4 failure.
 
Hivi Urais wa TZ ni kazi rahisi Sana.mnajiropokea majina kwamba fulani anaweza?

Yani unakuta MTU kapiga picha Tu kidogo kavaa Suti anashikana mikono na wazungu,,chawa wanaweka caption/comment raisi TZ 2045. Haya huyu na Ney wameamua kutoka na genre yao ya hip-hop siasa,basi Kila MTU anawaona Wana maono,,they are actually saying what everybody knows albeit loudly ,kwa hawa jamaa hawafai. Sio kitu kipya..we can call them courageous but not fill them with presidential labels
Wewe unafikiri akina magufuli waliopata urais walikuwa na kitu gani Cha ziada kuufanya urais wa Tanzania uwe wa maana Sana.
 
Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai

Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni mfuatiliaji mzuri wa nyaraka na matukio

Isingekuwa inshu ya uongozi wetu kumfyekelea mbali mtu huyu pindi atakapotua kwenye paa la nchi yetu, Roma alitakiwa kupewa nafasi ya CAG, uwaziri wa mambo ya ndani au agombee urais ili tummwagie kura za kutosha hata kama ataunda chama chake

Roma uishi milele
Mama hana noma na roma ni mwendazake ndio alikuwa anazingua tu ila kikwete na mama hawana noma kama wanashinda naye wangemalizana nae tangu kipindi cha kikwete maana alimtukana mzee wa msoga ila akampotezea.
 
Hivi Urais wa TZ ni kazi rahisi Sana.mnajiropokea majina kwamba fulani anaweza?

Yani unakuta MTU kapiga picha Tu kidogo kavaa Suti anashikana mikono na wazungu,,chawa wanaweka caption/comment raisi TZ 2045. Haya huyu na Ney wameamua kutoka na genre yao ya hip-hop siasa,basi Kila MTU anawaona Wana maono,,they are actually saying what everybody knows albeit loudly ,kwa hawa jamaa hawafai. Sio kitu kipya..we can call them courageous but not fill them with presidential labels
Ndio ni rahisi kwani huoni wewe mkuu?
 
Back
Top Bottom