Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,885
3,170
Habari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu.

Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana.

Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada.

Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote, vivyo hivyo na mimi nina amini kwamba siku moja, Mungu akinifanikisha kuwa Rais wa nchi yangu ya
Tanzania, pamoja na kwamba kwa sasa si mwanasiasa na wala si mtu maarufu na wala sitoki kwenye familia maarufu au tajiri; nitafanya haya yafuatayo kwa ajili ya usitawi wa Taifa langu na kwa watu wake pia;

1. Nitabadilisha mnyama anayeliwakilisha Taifa letu toka kuwa Twiga hadi kuwa Tai. Lengo ni kubadilisha mentality ya Watanzania toka kuwa watu wenye maono ya muda mfupi na mwendo wa taratibu kuelekea kwenye maendeleo hadi kuwa watu wenye kasi kubwa na maono ya muda mrefu. Tai haliwi. Hivyo hiyo itasaidia pia kutuondolea dhana potofu kwamba ili ule lazima uliwe kwanza hadi kwenye dhana ya kwamba unaweza kula tu bila kuliwa hata kidogo.

2. Nitawajengea Watanzania kuwa na moyo wa kufanya mambo makubwa kwa vitendo.

3. Nitaifanya Tanzania kuwa moja kati ya Mataifa makubwa kabisa duniani kijeshi, kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia n.k.

4. Nitawaheshimisha na kuwaenzi ipasavyo viongozi wote waliolitumikia Taifa letu kwa Uzalendo Mkubwa kuanzia kwa Hayati Julius Nyerere hadi kwa Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Hii itawajengea moyo wa uzalendo viongozi wengine kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa.

5. Viongozi wote ambao kwa namna moja ama nyingine walichangia kuliingizia Taifa letu hasara kwa namna yoyote, wawe hai au wamekufa, lazima watafidia hiyo hasara waliyolisababishia Taifa. Hii itajumuisha kutaifisha mali ambazo warithi wao walizirithi ziwe ndani au nje ya nchi. Pia adhabu ya kifungo kwa wale watakaokuwa hai itahusika. Hii itakuwa onyo kwa viongozi wengine wa kipindi hicho na wale watakaofuatia kuliongoza Taifa letu, ili waweze kuliongoza kwa uzalendo na kujitoa muhanga pia kwa ajili ya nchi yetu.

6. Idara ya usalama wa Taifa itaimarishwa kuanzia ngazi ya familia hadi ngazi za juu kabisa.

7. Serikali itawajibika kuwatunza katika nyanja zote (mavazi, malazi, chakula, elimu, afya n.k), watoto wote wa mtaani, watoto yatima, wazee wasio na uwezo wa kujitunza n.k. Kila raia lazima apewe mahitaji yote ya msingi na nchi yake.

8. Tenda zote za Serikali, zitapewa taasisi za serikali kama vile SUMA JKT, MAGEREZA, JWTZ n.k.

9. Nitajitahidi kupunguza tofauti kati ya matajiri na maskini kwa kuhakikisha keki ya Taifa inagawiwa sawa kwa wananchi wote.

10. Nitaboresha Taasisi zote za Serikali zionekane bora kuliko Taasisi binafsi.

NOTE: Serikali yoyote inawajibika kuhakikisha watu wake wote wanapata mahitaji yao yote ya msingi ikiwemo chakula, mavazi, sehemu nzuri za kuishi, usafiri, huduma za Afya, usalama wao na mali zao, mawasiliano, burudani n.k. Pia ni majukumu ya serikali kuhakikisha raia wanafurahia maisha na kujivunia nchi yao. Ni fedheha kwa serikali kwa raia wengi kuilalamikia kila siku kwa kushindwa kufanya kulingana na matarajio yao.

Ombi langu kwa Mungu ni kwamba hii Katiba tuliyo nayo sasa, iendelee kuwepo hadi huo muda ili niweze kufanya hayo yote niliyoyataja hapo juu.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania nchi yangu, Mungu ibariki Jamii Forum na members wake wote, Mungu nibariki mimi na familia yangu pia,

AMINA.
 
Bado hujalambishwa asali wewe, akili za njaa hizo. Unafikiri ukiilamba asali utakumbuka kuwashughulika Mafisadi?
 
Nisaidie kuomba lengo langu litimie Mkuu, utaona nitakavyowashughulikia!
 
Habari wana Jamvi wa Jamii Forum, salamu nyingi kwenu.
Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana.
Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada.
Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote, vivyo hivyo na mimi nina amini kwamba siku moja, Mungu akinifanikisha kuwa Rais wa nchi yangu ya Tanzania, pamoja na kwamba kwa sasa si mwanasiasa na wala si mtu maarufu na wala sitoki kwenye familia maarufu au tajiri; nitafanya haya yafuatayo kwa ajili ya usitawi wa Taifa langu na kwa watu wake pia;

Wishful thinking.

Husemi Njia ya kufika huko?
 
Amina nakuombea ufanikiwe.

Katika hilo, usione haya, Kupambana mpaka na Viongozi wasowaaminifu wanaolamba Asali walioko kwenye vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama.
Ahsante sana Mkuu, nina imani Mungu atanipatia ujasiri wa kuwashughulikia bila kuwaonea aibu.
 
Kwa bahati mbaya hiyo siku haitafika, na pia hutokuja kufanikiwa kuwa Rais. Maana hao mafisadi ndiyo wamiliki wa hii nchi. Yaani sisi wananchi tumegeuzwa kuwa misukule.
Hatuwezi kuendelea kuwa misukule siku zote. Nina imani sisi tukishindwa kuiondoa hii hali, basi watoto wetu ama wajukuu wetu au wajukuu wa wajukuu wetu wataiondoa, ilo nina uhakika, hata kama sitaweza kuwa Rais!
 
Deep state (not Votes) reserve the rights of winning presidence

Deep state haipigiwi Kura

Deep state can change president the way and when they wish

nazungumzia deep state ya Belarus sio ya Uzbekistan
 
Unamaanisha KATIBA ikibaki ilivyo itakupa GAP?? au ikibadirishwa unahisi siku ukiwa rais ndoto zako zitakuwa zimeshatimizwa na katiba??
 
Habari wana Jamvi wa Jamii Forum, salamu nyingi kwenu.
Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana.
Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada.
Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote, vivyo hivyo na mimi nina amini kwamba siku moja, Mungu akinifanikisha kuwa Rais wa nchi yangu ya Tanzania, pamoja na kwamba kwa sasa si mwanasiasa na wala si mtu maarufu na wala sitoki kwenye familia maarufu au tajiri; nitafanya haya yafuatayo kwa ajili ya usitawi wa Taifa langu na kwa watu wake pia;

1. Nitabadilisha mnyama anayeliwakilisha Taifa letu toka kuwa Twiga hadi kuwa Tai. Lengo ni kubadilisha mentality ya Watanzania toka kuwa watu wenye maono ya muda mfupi na mwendo wa taratibu kuelekea kwenye maendeleo hadi kuwa watu wenye kasi kubwa na maono ya muda mrefu. Tai haliwi. Hivyo hiyo itasaidia pia kutuondolea dhana potofu kwamba ili ule lazima uliwe kwanza hadi kwenye dhana ya kwamba unaweza kula tu bila kuliwa hata kidogo.

2. Nitawajengea Watanzania kuwa na moyo wa kufanya mambo makubwa kwa vitendo.

3. Nitaifanya Tanzania kuwa moja kati ya Mataifa makubwa kabisa duniani kijeshi, kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia n.k.

4. Nitawaheshimisha na kuwaenzi ipasavyo viongozi wote waliolitumikia Taifa letu kwa Uzalendo Mkubwa kuanzia kwa Hayati Julius Nyerere hadi kwa Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Hii itawajengea moyo wa uzalendo viongozi wengine kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa.

5. Viongozi wote ambao kwa namna moja ama nyingine walichangia kuliingizia Taifa letu hasara kwa namna yoyote, wawe hai au wamekufa, lazima watafidia hiyo hasara waliyolisababishia Taifa. Hii itajumuisha kutaifisha mali ambazo warithi wao walizirithi ziwe ndani au nje ya nchi. Pia adhabu ya kifungo kwa wale watakaokuwa hai itahusika. Hii itakuwa onyo kwa viongozi wengine wa kipindi hicho na wale watakaofuatia kuliongoza Taifa letu, ili waweze kuliongoza kwa uzalendo na kujitoa muhanga pia kwa ajili ya nchi yetu.

6. Idara ya usalama wa Taifa itaimarishwa kuanzia ngazi ya familia hadi ngazi za juu kabisa.

7. Serikali itawajibika kuwatunza katika nyanja zote (mavazi, malazi, chakula, elimu, afya n.k), watoto wote wa mtaani, watoto yatima, wazee wasio na uwezo wa kujitunza n.k. Kila raia lazima apewe mahitaji yote ya msingi na nchi yake.

8. Tenda zote za Serikali, zitapewa taasisi za serikali kama vile SUMA JKT, MAGEREZA, JWTZ n.k.

9. Nitajitahidi kupunguza tofauti kati ya matajiri na maskini kwa kuhakikisha keki ya Taifa inagawiwa sawa kwa wananchi wote.

10. Nitaboresha Taasisi zote za Serikali zionekane bora kuliko Taasisi binafsi.

NOTE: Serikali yoyote inawajibika kuhakikisha watu wake wote wanapata mahitaji yao yote ya msingi ikiwemo chakula, mavazi, sehemu nzuri za kuishi, usafiri, huduma za Afya, usalama wao na mali zao, mawasiliano, burudani n.k. Pia ni majukumu ya serikali kuhakikisha raia wanafurahia maisha na kujivunia nchi yao. Ni fedheha kwa serikali kwa raia wengi kuilalamikia kila siku kwa kushindwa kufanya kulingana na matarajio yao.

Ombi langu kwa Mungu ni kwamba hii Katiba tuliyo nayo sasa, iendelee kuwepo hadi huo muda ili niweze kufanya hayo yote niliyoyataja hapo juu.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania nchi yangu, Mungu ibariki Jamii Forum na members wake wote, Mungu nibariki mimi na familia yangu pia,

AMINA.
Umepita karibu na kijiwe cha bange nini ?
 
Hata kina Mbowe, Lipumba nk walisema hivyo hivyo mwaka 2005. Sabodo akaingia cha kike na kumkabidhi Mbowe M100 za kujenga ofisi. Kilichokuja kutokea kila mtu anakijua. Mbowe alimpigia sim Sabodo akamwambie zile M100 zimeliwa na panya zote.
 
Usijaribu,utakufa kabla hujatimiza nusu ya hayo
 
Back
Top Bottom